Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Mkurugenzi wa kampeni ya uzalendo kwanza na msanii wa filamu kutoka kiwanda cha filamu, Steve Nyerere amezindua saloon mpya ya kisasa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo amewataka watanzania kuendelea kufungua saloon za kisasa kwa kuwa ni viwanda vidogo. Muigizaji huyo ameyasema hayo Jumamosi hii wakati akizinduzi wa saloon hiyo uitwayo Respect Barber Shop iliyopo Komakoma Kinondani jijini Dar es salaam.