Kiukweli baadhi ya nyakati kina dada wanajiharibia wenyewe kwa kuaheuza wanaume kua taasisi za fedha utasikia wakisema sina bwana sina mume hiyo pesa nitapata wapi! Haya je mwanaume ndio pesa?
Nijuavyo mimi mapenzi ni haki kwa mujibu wa maumbile nasio kazi
Kupeana vitu vya hapa na pale kwenye...
Safi waambieni maana hawajielewi
Huwezi kupingana na sheria ndio maana dola ikawekwa ili kusimamia sheria itiiwe
Usipo tii kwa hiyari jua dola itakulazimisha
Utii kwa nguvu ili mambo yaende
Jee hivi maali seifu halijui hilo?
Watanganyika sio nyumbu kama wa znz
Kila analo waambia wao wamebaki...
Hakuna msafi hata seifu nae ni msaliti aliwakimbia januari 2001 wakati hakutumwa kokote na maandamano hayakua ya ghafla kakaa kikao na ccm 2015/16 yeye peke yake ccm saba na akafanya kikao ni siriake2
HANA USAFI
Kuhusu ubaguzi seifu ni mbaguzi kupita kiwango
2015 Wakati sare za chama znz...
Nionavyo mimi kimsingi wenye chuki dhidi ya uislam kwanza hawataki kujua malengo ya uislam pia hawataki kukubali kua wao uislam hawaujui wao wanataka kulinganisha uislam na wazungu kitu ambacho hakiwiani kwasababu wazungu wao mambo yao wanajipangia wenyewe na siyo maagizo ya mamlaka fulani hata...
Nahisi tamkoilo lili tolewa na mkuu wa mkowa Daresalaam au waziri mwenye dhamana katika mazishi ya mmoja wa.askari alie uwawa hakusema rais pili maoni yangu ipo haja ya kuangalia kwanini matukio haya yanashika kasi ili tupate tiba ya kweli kumuambia polis ashike silaha mkononi bado sio dawa...
Hii sio kweli mimi nachanganya akili 1985 hilo swali lilikuepo kichwani kwamaana kila unapo ambiwa amini kachinja vichwa vyenyewe ni viwilitu na ndo hivyoivyotu na friji ni hioiotu na lile lori ni lileliletu je kama ingekua ni tabia yake kwanini kusiwe na matukio ya kujirudia ruduia? Jee huwoni...
Hivi kama nikweli hio ilikua tabia yake mbona hivyo vichwa humo kwenye friji ni viwilitu? Na friji yenyewe ni mojatu? Kila unapo ambiwa amini kachinja unaoneshwa friji hiyotu kulikoni? Tangu mwaka 1988 mimi naanza kuchanganya akili sijaona friji nyingine wala vichwa zaidi ya hivyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.