Recent content by Wamwelu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Nyerere
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    Nenda Enterprise Finance Limited. Mkopo ni rahisi kupata na haraka. Riba ni reasonable saaana. Kama upo Dar wako Shekilango karibu na Marie Stopes hospital. Dodoma wamefungua Branch.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Iwe Siku ya kumponda Chalamila anayetaka Makanisa yafutwe

    Wapi ambapo hawapigi Faiza? Hata CAG anajua upigaji upo katika kila taasisi na hata serikalini. Mi naona kwa makanisa hayatuhusu kwani wapigwaji wameridhika wanatoa kwa hiyari na kwa imani yao na hawalalamiki wamweridhika. Upigaji wa mali umma tu ndio iwe concern ya mlipa kodi kwani imani ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kati ya Kimara, Kigamboni na Kinondoni wapi ni bora zaidi kuishi?

    Lakini husubiri zaidi ya dakika 15. Kumbuka unachukua muda mfupi katika kipengele cha usafiri kuliko ukitokea popote Dar. Panton hazina changamoto kama daladala au mwendokasi
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kati ya Kimara, Kigamboni na Kinondoni wapi ni bora zaidi kuishi?

    Hakuna shida na ferry siku hizi. Gharama ya chumba ni cheap kwa 100k unapata vyumba viwili vizuri kwenye maeneo tulivu. Usafiri wa daladala hata kama utaishi Geza au Kibada bado ni elfu kwa siku na husubiri kituoni zaaidi ya dakika 10, hakuna foleni barabarani. Hakuna joto wala mbanano. Karibu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Mbona sikuulizwa swali la waliokufa maana kama wangeuliza lazima la lini walikufa lingefuata. Mimi nakumbuka walikuwa wanauliza vifo vya watoto waliozaliwa wafu na hili swali lilimlenga mwanamke iwapo alishapoteza mtoto wakati wa kuzaa. Kuna Data nyingi za mtu zinaweza kupatikana NIDA hivyo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Swali korofi: Hii ni sensa au siasa?

    Hakika uzalendo wako umeonekana kwa vitendo kwanza kwa kushiriki zoezi na kwa kutoa hamasa kwa wananchi wote waendeleze uzalendo kwa kutoa ushirikiano katika kukamilisha zoezi muhimu la sensa Kwa vile umedhihirisha uzalendo, napenda kukupa kazi ili kusaidia kufanikisha zoezi hili. Jana mimi na...
  8. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

    Mhhh Paskali hii kesi ya Lord Rajpar inanikumbusha na inanipa majonzi kwani inanigusa sana kutokana na kuwa baba yangu mdogo (RIP) alikuwa mhusika kama mtumishi wa usalama kuishughulikia hii kesi, ilimpa hadi shinikizo.
  9. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

    Safi sana. Umenikumbusha enzi za East Africa Safari RaIly nikosoma nilisubiri nje ya fence ya shule mpaka Shankland apite kwa mbwembwe na gati chafuuu, ila umekosea ni Bert Shankland.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kaini alipata wapi mke wake?

    Uumbaji wa kwanza katika biblia. Kitabu cha Mwanzo ambapo Mungu anasema " Na tumumbe mtu mfano wetu". Kwanza hapa tunaona kuwa Mungu alizungumza na wengine aliokuwa nao wakati ule na akawaumba mke na mume. Baadae anamuumba Adam kwa udongo na baadae akaona ampatie nae mke hivyo anamuumba Hawa kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Kwetuuu. Mwanae Kashindye.. yaani mwarabu na jina la kinyamwezi
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Hahaaa. Umenikunbusha kwa jina Gondwe, nimesoma na binti wa mzee Gondwe sasa ni bibi kama mimi.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Kumbe tuko wengi wahenga. Mungu mwema. Tabora yetu, mzaliwa
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Mhenga mwenzangu. Isevya kwa kwa Ali Maguberi, kina marehemu Hamis Magurdumubna vitumbua vya moto, matapeli wa mwanzooo kina Juma Nkolokosho. Enzi za Uhazili tulitesa sana, Railway Club. Timu ya basketball kina Kamsululu. Nimekumbuka mbali sana.
Back
Top Bottom