Recent content by Wamazombe

  1. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya kituo cha mabasi Ubungo

    tunasubili picha mkuu
  2. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa gono kwa mwanamke

    kuna rafiki yangu mke wake ana ugonjwa wa gono ma anasema hajafanya mapenzi nje ya ndoa. Je, kuna uwezekano kwa mwanamke kupata ugonjwa huu bila kuambukizwa? Nisaidieni wana JF
  3. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma O LEVEL kwa posta

    asante kwa ushauli
  4. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma O LEVEL kwa posta

    tanzania,dodoma,mpwapwa,chipogolo.
  5. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha sheria za barabarani

    Ulishawai kukiona au unakisilia kwamba kipo
  6. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma O LEVEL kwa posta

    Elimu yangu std 7.nataka kujiendeleza lakini muda sina je naweza kusoma kwa posta?Kama kuna mtu ana hata anuani ninakoweza kupata elimu hiyo anisaidie.
  7. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania DREVA/DRIVER.. Read this!!

    mimi nahitaji nina leseni zote uzoefu zaidi ya miaka 10.nakupataje mkuu
  8. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Polisi kuacha kazi yao na kufanya kazi kwa wachina

    Hivi sheria inamruhusu askari polisi kufanya kazi ya ulinzi kwa wachi?Maana hata kazi yao wameitelekeza kabisa! Wanapewa mpaka job card ambayo husainiwa kila anapotoka.
  9. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Ugali ni chakula cha kimasikini

    Kupata akili ya kuwa shoga na kuwa shoga.ulisahau kumalizia.
  10. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania special forces!

    wanaonyesha kwa kuwauwa waandishi wa habari na kuwapiga virungu wanachama wa vyama pinzani.
  11. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    ni kweli kabisa yaani hapo utakula makofi na virungu.labda atufafanulie tukipigwa tufanyeje?mbali ya yote unaweza ukauliwa kama mwangosi.
  12. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania msaada wa sheria

    Kuna kijana amefanya ka kwa wachina miezi miwili,kabla ya kupewa mkataba,akapata ajali akiwa kwenye gari la kazi akaumia nyonga,je afanye nini ili apate haki yake?
  13. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuepuka/kutatua tatizo la kutokuona vizuri

    na mimi nimekupata
  14. Wamazombe

    JamiiForums Tanzania ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari

    ok mkuu
Back
Top Bottom