Recent content by Wamalinyi

  1. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa tabata Da'west

    hakuna kitu kama hicho ninashida zangu,waswahili husema kimfaacho mtu chake[emoji23]
  2. W

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Nauza Eneo langu Tabata karibu na Baa maarufu ya Da'west park. Eneo lipo barabarani,limepimwa na lina hati ya makaz,kuna nyumba ya vyumba4,sebule na jiko kuna eneo kubwa ambalo unaweza jenga nyumba2 kubwa Kuna fremu 7 za biashara na zote zinawapangaji Bei ni milioni 350 maongez yapo Mm mmiliki...
  3. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa tabata Da'west

    Waungwana nauza nyumba eneo la TABATA karibu na Baa maarufu Da'west park, eneo limepimwa na lina hati ya makazi, eneo liko barabarani kabisa, kuna nyumba kubwa ya vyumba vinne, kunaeneo tupu linaloweza kukaa nyumba zingine 2 kubwa, kuna fremu za biashara 7 na zote zina wapangaji eneo halina...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha siri Kati ya Sumaye Na Kikwete kilikuwa Cha nini?

    Mkuu nilikua na mastress yangu lundo umenifanya nicheke vibaya sana,Asante u made my day Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kahawa na Majani ya Chai

    mwenye ujuz jaman tupeane uzoefu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mshale wa Helen Kejo Bisimba kwa Magufuli

    Huyu mama nae akapimwe naniliu kwa mkemia Sent using Jamii Forums mobile app
  7. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukwapua picha au video kwenye whatsap status ya mtu

    ok Sent using Jamii Forums mobile app
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Mkuu pakawa naomba nikutafute nimefika Songea 2weeks ago nimehamia kikaz nimefatilia Kuhusu hiki kilimo naomba nipate A B C kama hutojali 0765505756 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Upo wap Sent using Jamii Forums mobile app
  10. W

    JamiiForums Tanzania Njooni huku Kusini tulime

    Mkuu mm nimepata uamisho nina wiki mbili hapa Ruvuma naomba nikuone,Sababu napenda kilimo ili unipe mwanga pa kuanzia 0765505756 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. W

    JamiiForums Tanzania Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

    Ok Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  12. W

    JamiiForums Tanzania Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

    ok Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kitanda iki kinauzwa kwa bei rahisi

    Mm shida yangu kwenye hilo jina la kitanda(POPOBAWA)sasa naona moyo mzito kulalia hicho kitanda
Back
Top Bottom