Kitanda iki kinauzwa kwa bei rahisi

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
939
1,000
Kitanda kipo Dar
Futi ni 5×6
Material Mbao
Design Popo bawa
Kimetumika in 4 months only
Price/bei ni Tsh 110,000/=
Serious buyer anaitajika kwa haraka

Contact 0659254488 or 0688624299

S
 

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
939
1,000
Ndio kwanza ana miaka miwili sijui Ikifika miaka mitano mkuu utakua unauza nini
Kwan we unajua kila anayeuza kitu anakua amefulia hee? kma ndivyo unavyoamin basi unajidanganya, ndani ya miaka mitano ijayo nitauza nyumba yangu ya vyumba vitatu kibaha na mahana nitakua na mjengo wa vyumba vine chin na vitatu juu

Welcome To The Great Thinker
 

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,800
2,000
Kitanda kipo Dar
Futi ni 5×6
Material Mbao
Design Popo bawa
Kimetumika in 4 months only
Price/bei ni Tsh 110,000/=
Serious buyer anaitajika kwa haraka

Contact 0659254488 or 0688624299

S
Bado kipo?
 

Wamalinyi

JF-Expert Member
Aug 10, 2016
239
250
Mm shida yangu kwenye hilo jina la kitanda(POPOBAWA)sasa naona moyo mzito kulalia hicho kitanda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom