Huoni kwamba unagombanisha familia? Kama baba atakuoa, unadhani mtoto wake atawaelewa? Na utaishi maisha gani kama kutakua na vita? Huo si ndio mwanzo was kuanza kugawa kwa wote ili kubalansi mambo? Baki na kijana. Wanaume unaoweza kuwapenda ni wengi na bado utakutana nao! Je , utakua...
Mimi nadhani tumpe muda. Dr. Slaa hakujulikana kabla ya kuja CHADEMA. Hii ina maanisha kwamba wako watu wengi wenye uwezo wanaohitaji nafasi kudhihirisha uwezo wao. Mboe naona kafanya vyema. Kwanza alihitajika msomi mwenye uwezo ili kuweza ku 'accommodate' makundi yote ndani ya chama. Chama sasa...
Lwaitama angeweza kufaa ila hatujajua uwezo wake wa kiutawala, hi managemen ability and skills. Napendekeza John Heche. Huyu ndugu alifanya kazi nzuri sana alipokuwa BAVICHA. Akirudi ataweza kuwasaidia ingawa kunaweza kutokea muingiliano wa hapa na pale kutokana na yeye kukaa katika ofisi hiyo...
Nampa pole. Watanzania bado tunasafari ndefu ya kuweza kusimamia kile tunachokiamini na ndo maana ni vigumu sana kupata viongozi thabiti. Mzee alipaswa awe amekwishajiuzulu kwani kiuhalisia hakuna mazingira rafiki tena ya kiutendaji kati yake na mzee wa nchi. Sijui anapoeaje maagizo ya mkuu. Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.