Recent content by WALL

  1. W

    Naombeni misaada jinsi yaku arrange blogu

    Hapo the most affordable and flexible solution ni kutumia WordPress and you can extend and customize the blog as much as you like.
  2. W

    Conversion of Scanned text pages into editable Document

    Tafuta app yoyote yenye OCR (Optical Character Recognition). Hizi zina uwezo wa kutambua herufi katika picha uliyopiga then unaweza kuipeleka katika Microsoft Word ukaendelea kufanya editing. Kwa mfano, you can check this one out OCR Text Scanner.
  3. W

    Mastercard ya bank ipi ni nzuri au visa card

    Tumia mpesa mastercard au airtel mastercard. . Ziko very efficient na rahisi kutumia
  4. W

    Modem ya Mobily

    Poa poa ucwaze. . Mrejesho muhimu
  5. W

    Nini kilikuvutia na kukufanya uanze Computer Programming (CODING)

    Nilianza kupenda computers mwaka 2004 nikiwa primary baada ya kufanikiwa ku-bypass TimeWatcher kwenye cafe moja ivi tukiwa tunacheza game [emoji28]
  6. W

    Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

    Pointers na multidimensional arrays [emoji28]
  7. W

    Modem ya Mobily

    I think a solution that would work hapo ni kufanya manual network configuration kwenye settings za modem. I use Mobily universal modem pia na sina tatizo nayo kabisa
  8. W

    Java Programming Guides for beginners

    If you're looking for alternatives to books ingia YouTube angalia android tutorials kwenye channel ya jamaa anaitwa Derek Banas. Yeye amegusia kidogo kuhusu Java then ameendelea na Android courses for beginners. . Here's a link below How to Make Android Apps - YouTube
  9. W

    Msaada: Naomba kujua Food delivery app iliyopo kwa sasa

    Ingia play store tafuta app moja inaitwa foodsasa
  10. W

    Ufafanuzi tafadhali: HTML vs Flutter

    HTML is for front-end web elements (structure) and Flutter is for developing cross-platform native applications so Flutter haijaja kui-replace HTML in any way since they serve different purposes.
  11. W

    Programming

    Inategemea unataka ubobee kwenye upande gani maana web development ina uwanda mpana. Kama utataka kuwa front end developer basics ni HTML, CSS na JavaScript lakini pia unaweza kujiongeza kwa frameworks kama Bootstrap, Foundation, Materialize na JS libraries kama Angular, React n.k. Kama...
  12. W

    Programming

    Yes mtu anaweza kujifunza field zaidi ya moja lakini mara nyingi field hizo zinakua zinahusiana. . Kwa mfano unaweza kukutana na full stack developer ambaye amebobea kwenye MEAN stack, so huyu anakuwa anafanya both front end programming, back end programming pamoja na database
  13. W

    Is there a periodic technology symposium conference in Tanzania?

    Yes and yes. . Sahara Sparks ilifanyika on October (it's fifth year I think) na ICT Conference ilifanyika on November kama sikosei (it's third year) na zote huwa zinafanywa tena the following year around the same time. Information about their dates, schedules, registration, guests, fees and such...
  14. W

    Is there a periodic technology symposium conference in Tanzania?

    Yes zipo kadhaa. . Binafsi naifahamu Sahara Sparks, an annual tech gathering organized by Sahara Ventures and partners (private companies). Na pia kuna annual ICT conference inayoandaliwa na ICTC kwa kushirikiana na COSTECH (government authorities) pamoja na wadau mbalimbali.
  15. W

    Kufufua memory card/flash

    Ni flash au memory card ya kampuni gani?? Transcend, SanDisk, Imation, Toshiba, Sony au ipi??
Back
Top Bottom