Modem ya Mobily

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,547
2,000
wakuu naomba msaada.

Nilinunua modem ya Mobily nikaambiwa ni universal, funny enough nime install lakini hai connect.

Tatizo nini wakuu hapa?

Nimejaribu line karibia zote

tapatalk_1591209909549.jpeg
 
WALL

Member
Sep 1, 2017
13
45
I think a solution that would work hapo ni kufanya manual network configuration kwenye settings za modem. I use Mobily universal modem pia na sina tatizo nayo kabisa
 
french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,547
2,000
I think a solution that would work hapo ni kufanya manual network configuration kwenye settings za modem. I use Mobily universal modem pia na sina tatizo nayo kabisa
dah ngoja nijaribu mkuu. nikishindwa inabidi nikucheki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom