Kufufua memory card/flash

Kufufua memory card/flash

fite fite

Senior Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
113
Reaction score
94
Samahani wanajamvi,

Naomba kufahamu kuna memory card niliiweka vitu muhimu sana, niliiweka sehemu, leo naichukua kuoweka kwenye device imegoma kabsa kusoma.

Nimebadili device napata ujumbe wa FORMAT nimeachana nayo nimechukua flash maana taarifa ni muhimu sana nikatunza sehemu mbali mbali, sio bahati nayo flash imegoma kusoma.

Naombeni mwongozo kama kuna uwezekano wa kufufua memory card au flash nawaza zitakuwa zimekufa kama nipo sahihi.

Pili naombeni ushauri njia nyingine salama ya kutunzia documents za muhimu.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
Samahani wanajamvi,

Naomba kufahamu kuna memory card niliiweka vitu muhimu sana, niliiweka sehemu, leo naichukua kuoweka kwenye device imegoma kabsa kusoma,

Nimebadili device napata ujumbe wa FORMAT nimeachana nayo nimechukua flash maana taarifa ni muhimu sana nikatunza sehemu mbali mbali, sio bahati nayo flash imegoma kusoma.

Naombeni mwongozo kama kuna uwezekano wa kufufua memory card au flash nawaza zitakuwa zimekufa kama nipo sahihi

Pili naombeni ushauri njia nyingine salama ya kutunzia documents za muhimu

Natanguliza shukrani kwenu.
Tunza mawinguni. On ze Cloud.
 
Kwa kawaida memory card ikikupa ujumbe huo ujue ishafika omega au inaelekea omega.

Kujua kama imeshafika au bado.

Ichomeke kwenye simu, ona kama itafunguka. Ukiweza kupata simu ya Nokia itakua vizuri zaidi.

Badilisha card reader. Na badilisha ports za kichomekea card reader.

Badilisha komoyuta (ukibadili na aina itkua poa, mfano HP, Acer n.k)

Njia yeyote kati ya hizo ikifanikiwa kuifungua memory kopi vitu na achana na hiyo memory.

Ushauri wa sehem zingine za kuhifadhi. Jitumie hivyo vitu kwenye email yako, save kwenye Drive au cloud, save kwenye dvd, cd n.k.
 
Ni flash au memory card ya kampuni gani?? Transcend, SanDisk, Imation, Toshiba, Sony au ipi??
 
Kama inaomba FORMAT haijafa hiyo format tu, ikisema windows cannot format au Kama unaichomeka halafu haionekani jaribu njia hii. Bonyeza ile key ya window + R, kitafunguka kidirisha kidogo chini kushoto, type "cmd" halafu enter, itafunguka dirisha nyeusi tiiii, andika " diskpart" then enter, itaku prompt kawindo kadogo , bofua YES. Itafunguka window nyingine nyeusi, isubiri kidogo, type " list disk" , enter. Angalia kama utaona flash yako kwenye list ya hizo disk hapo, usipoiona weka msiba ndo imekufa. NB: Jaribu mara 2 au 3 flash zingine hazisomagi first time.
 
Iloweeke kwenye mafuta ya taa
Kisha itoe isafishe kisha weka kwenye simu yako
 
Asante kwa ushauri ndugu, lakini naomba kujua kuhusu kuzifufua flash na memory card zilizokufa hakuna watalaam wenye huo uwezo au program inayoweza kufanya hivyo?
Kwa kawaida memory card ikikupa ujumbe huo ujue ishafika omega au inaelekea omega.

Kujua kama imeshafika au bado.

Ichomeke kwenye simu, ona kama itafunguka. Ukiweza kupata simu ya Nokia itakua vizuri zaidi.

Badilisha card reader. Na badilisha ports za kichomekea card reader.

Badilisha komoyuta (ukibadili na aina itkua poa, mfano HP, Acer n.k)

Njia yeyote kati ya hizo ikifanikiwa kuifungua memory kopi vitu na achana na hiyo memory.

Ushauri wa sehem zingine za kuhifadhi. Jitumie hivyo vitu kwenye email yako, save kwenye Drive au cloud, save kwenye dvd, cd n.k.
 
Kama inaomba FORMAT haijafa hiyo format tu, ikisema windows cannot format au Kama unaichomeka halafu haionekani jaribu njia hii. Bonyeza ile key ya window + R, kitafunguka kidirisha kidogo chini kushoto, type "cmd" halafu enter, itafunguka dirisha nyeusi tiiii, andika " diskpart" then enter, itaku prompt kawindo kadogo , bofua YES. Itafunguka window nyingine nyeusi, isubiri kidogo, type " list disk" , enter. Angalia kama utaona flash yako kwenye list ya hizo disk hapo, usipoiona weka msiba ndo imekufa. NB: Jaribu mara 2 au 3 flash zingine hazisomagi first time.
Asante kwa ushauri kiongozi,
Lakini Mkuu nikiiruhusu iformat data ninazozihitaji si zitafutika? Ntazipataje baada ya kuformat, mwongozo tafadhali mkuu.
 
There are sitiations you can't do nothing. Kuna wakati memory card au flash huwa zinaomba actions ambazo usipozifanya computer inaterminate access request ya hiyo device na kuitoa.
 
!
Kwa kawaida memory card ikikupa ujumbe huo ujue ishafika omega au inaelekea omega.

Kujua kama imeshafika au bado.

Ichomeke kwenye simu, ona kama itafunguka. Ukiweza kupata simu ya Nokia itakua vizuri zaidi.

Badilisha card reader. Na badilisha ports za kichomekea card reader.

Badilisha komoyuta (ukibadili na aina itkua poa, mfano HP, Acer n.k)

Njia yeyote kati ya hizo ikifanikiwa kuifungua memory kopi vitu na achana na hiyo memory.

Ushauri wa sehem zingine za kuhifadhi. Jitumie hivyo vitu kwenye email yako, save kwenye Drive au cloud, save kwenye dvd, cd n.k.
!
Komoyuta..... Hii Hatariii Sana
 
!

!
Komoyuta..... Hii Hatariii Sana

Mtu kaleta swala lake, mimi na wengine tumekuja kusaidia kwa kadri tunavyoweza. Wewe umekuja na ulichoona ni hilo neno tu?

Kwahiyo niweze kuandika vitu vyote ila kuandika kompyuta ndiyo siwezi?

Haya basi sijui kusoma na kuandika.

Tumia akili
 
Samahani wanajamvi,

Naomba kufahamu kuna memory card niliiweka vitu muhimu sana, niliiweka sehemu, leo naichukua kuoweka kwenye device imegoma kabsa kusoma.

Nimebadili device napata ujumbe wa FORMAT nimeachana nayo nimechukua flash maana taarifa ni muhimu sana nikatunza sehemu mbali mbali, sio bahati nayo flash imegoma kusoma.

Naombeni mwongozo kama kuna uwezekano wa kufufua memory card au flash nawaza zitakuwa zimekufa kama nipo sahihi.

Pili naombeni ushauri njia nyingine salama ya kutunzia documents za muhimu.

Natanguliza shukrani kwenu.
Dah hazijafa lakini kama inakupa option ya format basi huwezi kuzipata nyaraka zako mzee then hiyo computer yako ina virus kingine jinsi ya kutunza unaweza nunua external kama utaweza au utumie Google drive kuhifadhi vitu vyako ndio sehemu safe zaidi mm naamini.
 
Mtu kaleta swala lake, mimi na wengine tumekuja kusaidia kwa kadri tunavyoweza. Wewe umekuja na ulichoona ni hilo neno tu?

Kwahiyo niweze kuandika vitu vyote ila kuandika kompyuta ndiyo siwezi?

Haya basi sijui kusoma na kuandika.

Tumia akili

!
!
Trying To Have Some Fun.
 
Angalia kwenye disk management. Mara nyingi file system inabadilika inakuwa RAW, hapo inabid uirudishe kwenye Fat32 au aina nyingine inayosapoti.

Tafuta kwenye torrent sites hii software M3 raw to ntfs converter imenisaidia sana. The good thing data zako utazipata zote.
 
Back
Top Bottom