Kipengere gani kilikusumbua kukimaster ulipojifunza Programming Language?

Unakuwa bado sana, nitakuja kukuambia vitu vingine mbeleni. Mrengo wako wa programming ni upi? Developer, scientific computations au both?
Mi tayari ni developer mwaka wa nne huu mkuu, nilikuwa namuelezea mdau hapo kuwa kujua OOP ndo kujua coding maana most of programming language ni OOP paradigms, ukijua OOP ndio unaweza sasa kusoma advanced concept kwenye lugha yoyote
 
Kitabu gani kinaelezea algorithms na data structure vizuri? Kwa uzoefu wako?
Nimesoma vingi ila hivi vimefanya my programming skills and experience better
1. Introduction to Algorithms: A Creative Approach By Udi Manber
2. Introduction to Algorithms By Thomas H. Corman
3. The Algorithm Design Manual By Steve S. Skiend
4. Data Structure & Algorithms By Aho, Ullman & Hopcroft
 
Mi tayari ni developer mwaka wa nne huu mkuu, nilikuwa namuelezea mdau hapo kuwa kujua OOP ndo kujua coding maana most of programming language ni OOP paradigms, ukijua OOP ndio unaweza sasa kusoma advanced concept kwenye lugha yoyote
Kwa kazi yako, may be imetosha. Hongera. Unatumia language(s) gani?
 
Mi ndio nimeanza kusoma Python basics, it has been a while sijagusa Programming tangu nitoke chuo, nataka nijue kiasi sio kwa ajili ya kuwa developer, ili niitumie kwenye Network Automation. Hope ntafanikiwa, one step at a time, bado najiandikisha viprogram vya kujumlisha na kutoa, nimemaliza data types, soon ntaanza functions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domain-driven design (DDD) ilinitesa sana na mpaka leo sijatulia vizuri, ni concept moja huchukua hata miaka kabla uje kuiweka sawa, maana inakuwezesha kutengeneza logics ambazo unazihamisha kwenye framework yoyote zinapiga mzigo bila mahangaiko. Yaani leo unaweza ukahamisha kutoka kwa Laravel kwenda Codeigniter bila usumbufu, unakua umelinda business logics zako kutoka kwa utegemezi wa framework yoyote.

Hii niliamua baada ya tukio fulani hapo kwenu Bongo, kuna system nilitengeneza kwa muda wa zaidi ya miaka miwili, ikawa inatumika freshi tu, ila mteja akaajiri madogo wa IT kama internal programmers, walikuja wakiwa na uzoefu wa Laravel, wakashauri system yangu ipigwe chini kisa sio Laravel, itengenezwe upya, wakawa wanasklizwa na wakuu wa kampuni maana mambo kama haya huwa kisiasa zaidi.

So kwa kifupi kama ningekua nimezingatia DDD, wala haingenipa tabu kuhamisha kwenda Laravel ili niendane na hao madogo.

Yaani kuzingatia DDD na kuhakikisha sheria zote za SOLID programming umeziheshimu, unaweza ukatengeneza mfumo wowote na utumike popote pale na kuhamisha baina ya frameworks au hata programming languages bila tatizo kubwa.

Likija suala la lugha, concept ya promises kwenye ES5/ES6 za Javascript ilinichelewesha kiaina.
 
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavyojieleza,naomba tuambiane kipengere kilichokuwa kigumu kwako wakati unajifunza programming language yoyote ile.

Kwa upande wangu kutokana na research niliyofanya na kutambua lugha gani nianze nayo kwa ajili ya projects zangu,niliamua kuanza na Python.Kama kawa nilianza vizuri nikafika hadi kwenye functions, hadi kufikia hiyo point sikusumbuka kiasi hicho japo nilihaso kidogo.

Tatizo lilianzia pale kwenye OOP. Kusema kweli hii point nilistruggle sana.Nasoma maelezo kisha nacopy code inarun vizuri na kutoa output ila sasa nikiicheki code ili kujua why output imekuja hii nachoka.Ila nashukuru nilivuka.

Ningependa kusikia uzoefu kutoka kwenu pia, Karibuni.
OOP SIO poa aiseee ilinitesa kuna code za umr kutafuta wa mtu kupiga kura ila nashukuru kumbee simple[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mi tayari ni developer mwaka wa nne huu mkuu, nilikuwa namuelezea mdau hapo kuwa kujua OOP ndo kujua coding maana most of programming language ni OOP paradigms, ukijua OOP ndio unaweza sasa kusoma advanced concept kwenye lugha yoyote
If you have ever coded an embedded system, you would understand why C programming (a procedural language) is a requirement for Computer/Electrical/Electronic engineering programs. The device you used to post your comment is most likely powered by a microprocessor coded in some procedural language.
 
Wadau mm nashaur tuwe tunasaidiana kupeana code za program tu mambo ya kusoma ni juu yako si kaz yetu iwr kushare code maana kuna program nying mno na dunia ya sasa inaenda kasi mno ukiwa na program nying ndio unaelewa programming haraka zaid kuliko kusoma mivitabu inaweza kukucost 7 years mfano mtu anaweza kunitumia program ya snake game kisha mm nikaichukya nikaipaste in TURBO C++ nikairun ikakubali kisha nikaisave na kucompile nakuipitia jins ilivyoandikwa nakuwa nimeokoa mda na nimeielewa tofaut na ambae atakuja na wazo aanze kuitengeneza mwrnyewe from beginning itamcost mda

Natumai mmenielewa
 
kuna open source project huko github, kama zile uwezi endeleza itakuwaje hapa.

Vitu vingine si vya kutoa bila makubaliano maalum ya kisheria
 
Hapa nazungumzia open source program na apo tupo kwa ajili ya kusaidiana na sio biashara ivo mtu km una program unashare code watu tuione na km itakuwa poa tuanzishe group la whatsapp kwa developets
Tatizo la open projects za online zina makosa meng kwenye code ivo ata ukichukua code huko ukapaste usishangae zijaja errors nying
 
If you have ever coded an embedded system, you would understand why C programming (a procedural language) is a requirement for Computer/Electrical/Electronic engineering programs. The device you used to post your comment is most likely powered by a microprocessor coded in some procedural language.
Mbona sisi. Tulisoma Java
 
Tatizo la open projects za online zina makosa meng kwenye code ivo ata ukichukua code huko ukapaste usishangae zijaja errors nying
Error nyingi!?.

Mkuu if you can't eliminate those errors you have to make your own project.

Yaani umehangaika kufanya setup ya project let say react project ambayo umeingia mtandaoni na ukiwa na madhumuni nayo baada ya hapo ukutane na errors useme haifai utakuwa umepoteza muda yaani kama kuna project zipo codecanyon zinauzwa na zina error sembuse za free.

Kifupi tuache uzembe, hakuna mtu wa aina hiyo atakaye share complete project kisha kuundwa group wasapu, hivi akiipeleka mahali panapoeleweka atakosa support ya maana mbali na hiyo ya WhatsApp.

Nimalize kwa kusema kama unajifunza kaza buti acha kulemba.
 
Sure, nice speech

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Error nyingi!?.

Mkuu if you can't eliminate those errors you have to make your own project.

Yaani umehangaika kufanya setup ya project let say react project ambayo umeingia mtandaoni na ukiwa na madhumuni nayo baada ya hapo ukutane na errors useme haifai utakuwa umepoteza muda yaani kama kuna project zipo codecanyon zinauzwa na zina error sembuse za free.

Kifupi tuache uzembe, hakuna mtu wa aina hiyo atakaye share complete project kisha kuundwa group wasapu, hivi akiipeleka mahali panapoeleweka atakosa support ya maana mbali na hiyo ya WhatsApp.

Nimalize kwa kusema kama unajifunza kaza buti acha kulemba.

Kwanza hapa Afrika ndio tusidanganyane na hizo whatsapp groups, mnaanzisha mradi wa opensource, kisha unajikuta commits zote unafanya wewe, halafu watu wame subscribe wengi lakini hakuna anayejitutumua kusaidia, kisha siku mfumo ukionekana umesimama, jamaa wana download balaa na kuanza installations kwa wateja kimya kimya wanapiga hela, hauhusishwi.
 
Back
Top Bottom