mambo vepe huenda hiii mada isha zungumza au bado ingawa nimejaribu kufatilia humu sijafanikiwa kama nilivyo anza pale kwenye title ni madhara gani mwanamke mjamzito anaya pata endapo kama ata date na mwanaume si mwenye ujauzito ule
Ahsante
Mie nahusika na ujasiriamali mdogo mdogo na genge la nyama choma kila siku nimekuwa nachukua nyama jioni na kwenda nayo nyumbani na kuweka katika chombo kikubwa cha wazi nimekuwa nafanya hivi mara kwa mara.
Ila leo nimekuta nyama inatoa wadudu nimemweleza anayenipaga nyama now kaniruka hataki...
Hebu Jifunze kumuheshimu kila mmoja pasipo Kujali umri au Cheo alichonacho kwasababu Unaweza ukahisi umefanikiwa Sana kwenye maisha yako lakini Kumbe bado mno nakwambia hivyo kwasababu hauwezi kufanikiwa katika kila kitu,
𝐌𝐚𝐟𝐚𝐧𝐢𝐤𝐢𝐨 𝐲𝐚 mtu huwa yanapimwa kwa namna kuu nne (4)
Moja wapo ni Imani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.