Nimeelewa kwanini unatakiwa kumheshimu mkeo sana

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Kuna kipindi nikiwa mwanafunzi nilipopita JKT, kuna afande aliwahi kusema kuwa mheshimu mno mkeo unayelala naye kitanda kimoja, kwani kukuua ni dk 0 tu.

Akatoa na mfano kuwa je, akikuwekea sumu au kukunusisha dawa za kukuua, ukiwa usingizini utapona? Jibu ni hapana!

Tuwaheshimu wake zetu, wana siri zetu nyingi mno, wakisema wamwage tumekwisha. Pia ogopa sana mtu unaye-share naye kitanda.

Nawasilisha, uzi tayari.
 
Hiyo haipo katika Amri 10 za Mungu
 
MTU unaye share naye kitanda
 
Kwa mifano anayotoa huyo si mke ni adui. But unambadilishaje mke kuwa adui.. thats up to you
 
FB_IMG_1632669576961.jpg

Angekua na mke asingekufa mapema hivyo.
Mke aheshimiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom