wakwatito
Member
- Apr 15, 2018
- 30
- 49
- Thread starter
- #21
Tumia akili kidogo tu.
Mecheka sana Jana sanaaa yaani mekuta vityu vya ajabu Sana kwa manzi wangu bhana yaani anamiki wanaume watatu wote anawaita waume zake na MIE pia ananiita mume wakeHakika, hawana SI Unit. NI kuishi nao tu kutokana na mood
Mecheka sana Jana sanaaa yaani mekuta vityu vya ajabu Sana kwa manzi wangu bhana yaani anamiki wanaume watatu wote anawaita waume zake na MIE pia ananiita mume wake
mzee acha dharau kwa boda bodaWanawake ukitumia akili sana watakusumbua mnooo.
Tumia akili kidogo tu. Mimi nimeshabadilisha mtazamo wangu kabisa.
Mimi kuna siku nilimkuta mwanamke kichakani na mfungwa
Check Nabii Tito ana wanawake wawili anawaendesha anavyotaka.
Angalia Manara kaoa pisi kali.
Check mtu boya boya kama MC Pilipili, ana pisi kali
Wewe unaweza kukuta umemaliza UDSM, una vijisenti lakini demu hakutaki amemkomalia bodaboda, akishazalishwa ndio anajileta kwako.
Tumia akili kidogo tu.
Mkuu wewe ndo mc pili pili au Manara?Punguza pia dharau
Si mmoja kati yao lakini ubinadamu hauko jinsi unavyofikiri weweMkuu wewe ndo mc pili pili au Manara?
Mbona povu sana mkuu,mimi nimeuliza tu mkuuSi mmoja kati yao lakini ubinadamu hauko jinsi unavyofikiri wewe
Lakini naamini pia hauna ulichowazidi hao uliowataja
Jitathmini Ni kipi Cha zaidi ulichonacho kuliko hao jamaa