Tangu jana nina mdogo wangu tunajaribu kujisajili kwa ajili ya kuomba chuo mfumo unagoma .Mwenye ufahamu kama kuna mabadiliko ya system ya TCU anifahamishe tafadhali
Mi ni mgeni kidogo katika ufuatiliaji Wa kazi za serikali.Siku za karibuni walao nimejitahidi kufuatilia.Kila bunge likikaa lazima litajadili wizi unaofanywa kwenye wizara na idara mbalimbali za serikali.Mikataba mibovu as if wanaosaini mikataba si watanzania vile.Hivi hali Hii ni utawala Wa...
Kwani hizo division ndiyo zinafanya kazi? Polisi wamesomea upolisi huko CCP sasa ukianza kuuliza masuala ya O level sijui advance hueleweki.Mapolisi wote wamesomea Upolisi
Huyu mtoa post hajatumia ubongo wake kwa ufasaha na ndiyo maana ameshindwa kufikiri hadi akafikia kudharau kazi za watu.Kama wao ni form four failure kinakuuma nini? Isitoshe hujafanya research kwenye majeshi yetu wapo wasomi wengi na wanatenda kazi zao vizuri.Siku zote elewa wengi Wa waTz...
Kazi mzuri kwa Polisi. Jambazi ni jambazi tuba awe na silaha ama asiwe nayo ni jambazi kama wenzake wametoroka nazo hizo silaha. Wawaue tu hao jambazi maana siku hizi wamewazoea sana Polisi. Polisi rudisheni heshima yenu
Hapa jukwaani kuna mambo sana.Wapo wanaojadili Polisi katika nchi hii hawana maana yoyote hadi kuwaita ni wapiga dili wala rushwa na kila baba ni lao.Lakini hapa wanalalamika kufungwa kituo saa kumi na mbili.Tusiwe wanafiki!!Wengine wanaona raja wakiweka mada ya kuwaponda Polisi huku wakijua...
Huyu mtoa Uzi kwanza anatakiwa aseme anatuhumiwa kosa gani la kijinai ili tuweze kumjua vizuri.Maana makosa ya kijinai na upelelezi unaweza usitoe matokeo chanya ingawa mtuhumiwa kulitenda kosa.Hivyo tupe yote hadi uliyoyafanya na siyo kutupa tuhuma za kuombwa rushwa tu nawe sema ulichokosea...
Kumbe we ndiyo mshenzi,huyo ametekeleza wajibu wake kama RAIA mwema.Bila shaka ubongo wako una shiida.We ni mmoja Wa watanzania ambao wanaanzisha chuki ktk jambo Fulani ingawa hajawahi kutendewa ubaya
Nyie mnazungumzia sheria gani acheni kuweka porojo.Site sheria inayokataza mwanaume asikamate mwanamke.Kama watu hawatii sharia wafanywe nini kwa misingi hiyo hats huyo mnayemtetea ametunga sheria yake ingawa maandamano yake yalikatazwa
Wapigwe tu.Nami nasema na mpigwe.Brother hakuna sheria inayosema mwanamke akamatwe NA mwanamke mwenzake usiwe mvivu Wa kusoma vitabu si kumwaga porojo hapa jukwaani.Mhalifu ni mhalifu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.