Recent content by Wakunyumba Official

  1. W

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wateja hampigi mnaogopa fixed price! Haya Punguzo la bei hilo, mshindwe nyie sasa. Samsung galaxy M31 Nime-update Android 12 Storage: 128GB Ram: 6GB Camera: Main 64 megapixel, front 32 megapixel Battery: 6000mAh Price: 300,000/= Location: Mwanza Ilemela Mkoani unatumiwa kwa uaminifu kabisa 100%...
  2. W

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mikeka ya ukili na ukindu kwisha habari yake.
  3. W

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa yuko sawa, mkeka wa karatasi huo na barcode zake hizo hapo, unaweza ingia galsport kucheck slip ukaingiza hizo barcode ikauleta huo mkeka kama ulivyo. Sio lazima ku-login. Ila mwamba aliyebet kaubet kibabe sana.
  4. W

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung galaxy M31 Storage: 128GB Ram: 6GB Camera: 64 megapixel main, 32 megapixel front Battery: 6000mAh Bei: 350,000/= fixed Location: Mwanza Ilemela Ni ya kwangu mwenyewe ninaitumia Call: 0739390390
  5. W

    Phone4Sale Samsung Galaxy M31 for sale

    Samsung galaxy M31 Storage: 128GB Ram: 6GB Camera kali mno: 64 megapixel main, 32 megapixel front Battery: 6000mAh (inakaa na charge mpaka inakera) Coluor: Dark Blue Condition: Excelent/Almost New Bei: 350,000/= fixed Location: Mwanza Ilemela Ni ya kwangu mwenyewe ninaitumia, haina magumashi...
  6. W

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung galaxy M31 Storage: 128GB Ram: 6GB Camera kali mno: 64 megapixel main, 32 megapixel front Battery: 6000mAh (inakaa na charge mpaka inakera) Coluor: Dark Blue Condition: Excelent/Almost New Bei: 350,000/= fixed Location: Mwanza Ilemela Ni ya kwangu mwenyewe ninaitumia, haina magumashi...
  7. W

    Hivi hawa RITA wamekuwaje sikuhizi, kwa aliyewahi kwenda hebu tueleweshane hapa inakuwaje

    Kwahiyo unamaana kwamba cheti kipo teyari isipokuwa tu sikumkuta mgawaji? maana nilikuwa na wasiwasi kana kwamba kuna procedure nyingine za kupotezeana muda.
  8. W

    Hivi hawa RITA wamekuwaje sikuhizi, kwa aliyewahi kwenda hebu tueleweshane hapa inakuwaje

    3 weeks ago nilipoteza birth certificate sasa nilipoenda HEADQUARTERS wakaniambia nikachukue loss report polisi, baada ya kufanya hivo niliwapelekea hiyo loss report then wakanipa form ya kuzaja details zangu zote. Japo nilihaso haso kutokana na sijui niseme ni ukosefu wa umakini au ni kutokuwa...
  9. W

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye iPhone 6s plus nyeusi anicheki PM tuongee business
  10. W

    Kwa sasa hivi Darasa ndio msanii bora wa Hip hop

    Nyimbo 2 zilizohiti teyari ushamrank kuwa ni msanii bora! Hii kali
  11. W

    Jeshi la Polisi lakamata bangi huko Kisimiri

    Mbona taarifa haijakamilika....imekamata tani ngapi za bangi....
  12. W

    Diploma Holders

    We si ulikuwa na uwezo wa kulipia diploma.... why not degree....huh?
  13. W

    NATO wafanya maonyesho makubwa ya kijeshi ili kumjibu Mrusi

    We kilaza unasubiri kufa, hongera!
Back
Top Bottom