Recent content by wakunaji

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na mawasiliano

    kupigiana visimu sio kupendana au ndio kuonyesha mapenzi ya dhati kwa unaempenda kikubwa ni kujitambua ,heshima , na kujua dhamani ya mwenzi wako bila kusahau tabia ya mtu wako .watu wengine hawana mazoea hayo et kila muda Bby Bby Bby loooh! hakuna kazi nyingine za kufanya .
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mume wake anawamini marafiki kuliko mke wake

    hakika upo sahihi japo nataka nikudodose kitu hapa ndugu Yangu . Mali kuandikwa majina ya ndugu sio sahihi lkn inatokea tu kama sijabahatika kuwa na mtoto hata mmoja , na labda nimeoa kabila flani hivi ambalo wanatamaa sana na Mali na nimeoa wakati hizo mali ninazo lazima zipigwe chata ya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mume wake anawamini marafiki kuliko mke wake

    Huwezi jua mke wake anatabia gani, kuna baadhi ya wanawake ni kadeshiani yaani kichwani hakuna kitu.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

    wasichana wengi huwa na mantiki hiyo lakini kiuhalisia tupo vidume tunao watolea nje , kwa sababu ya kutowapenda , kutovutiwa , na kuheshimu hisia ya tunao wapenda
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    kipeleke hospital mkuu. hapo kitaanza kutembea vizur
  6. W

    JamiiForums Tanzania Uhuru ni kitu gani kwa mwanamke?

    ha! ha! ha! et nyuma nyuma kama kalio! . mwanaume wa kweli lazima achunge mzigo wake ingawa trust ndio kila kitu , pia baadhi ya wanawake hupenda kuona mume au mpenzi wake anamfuatilia .
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wake wazuri, huwa na 'nyumba ndogo' zisizotazamika kwa sura wala umbo...!

    hakika umenifanya nivutiwe kuisoma hii kitu , ukweli mtu ndugu Yangu hivyo ndivyo ilivyo.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili mkoa wa mbeya mjini

    ni mganga mkubwa sana kutoka Malawi anatibu magonjwa yafuatayo .kifafa , kifua kikuu, magonjwa ya zinaa , na kurudisha fedha zilizopotea kwa mazingara siyo hivyo tu anatoa limbwata , anatoa dawa ya kumkamata Mme au mke anae toka nje ya ndoa , dawa ya kuachisha ulevi wa pombe , madawa ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji fundi ujenzi

    upo sehemu gani ? . tupia namba hapo
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    kawaida ya mwafrika kujifanya vyote huvijua
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mzima pekee ndiye anaye weza changia hapa .asiye mzima chenga tu.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kushare mawasiliano na mpenzi wangu bila yeye kujua

    Nimejaribu kudownlod kwenye google play naona zinakuja nyingi niliichangua naona chenga tu. ni pm nikupe maufundi .
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kushare mawasiliano na mpenzi wangu bila yeye kujua

    all in all kujiamini tu . men fine hayo kujitafutia kifo cha pressure tu
  14. W

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    pole kwa yaliyo kukuta Ila nitatizo dogo sana kama yupo serious azingatie ushauri wangu, mwambie aanze mazoez kama squatty. pullup, na atumie matunda kV. ndizi mbivu, karoti, na atumie sana tangawizi, pia afanye mazoezi. ya hisia yanaitwa kegel excirseze. yatamfanya awevizuri kitandani
Back
Top Bottom