kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive
watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu
Huwezi jua mke wake anatabia gani, kuna baadhi ya wanawake ni kadeshiani yaani kichwani hakuna kitu.
kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive
watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu
Mmmmmmmmmmh........umesema Miaka 8???
Sasa kama aliweza kuvumilia yote hayo miaka 8 kinachomfanya ashindwe kuvumilia sasa ni niji???
Anampenda mkee kupita maelezo hataki apate ajali wakati mumewe anapokuwa safarini. Kupenda bana, sio yote ya ndoa ya mwenzako utayajua hadharani.kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive
watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu
Aendelee kumwonesha uaminifu na upendo, atabadulika taratibu, kuna wanaume wengine wamejazwa ujinga kuwa usimwamini mke, nao wanakubali bila kujua kuwa ndiye pekee mwenye uchungu na watoto wake, utakuta hata mali nyingine wanaandika ndugu, wakifa watoto wanapata shida, kuondoa mawazo hayo hakuhitaji haraka, aende taratibu
Wakuu nahitaji ushauri ninarafiki yangu ameolewa lakini amekuwa amwelewi mume wake, yaani Mme wake anaamini ndugu zake kuliko mke wake, waga akisafiri funguo za gari anamwachia ndugu yake ambaye ni mdogo wake kodi za wapangaji mdogo wake ndo anapokea, akimwambia kwanini anafanya Ivyo anamwambia kwani alishawai kumlaza njaa!! Kiukweli uyu best yangu ameniomba ushauri nimeshindwa cha kumshauri ndo mana nimeleta kwenu wakuu tushee mawazo kwa pamoja!!
Anampenda mkee kupita maelezo hataki apate ajali wakati mumewe anapokuwa safarini. Kupenda bana, sio yote ya ndoa ya mwenzako utayajua hadharani.
Huwezi jua mke wake anatabia gani, kuna baadhi ya wanawake ni kadeshiani yaani kichwani hakuna kitu.
kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive
watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu[/QUOTE
Duuh hiyo kali hapo unatafuta hela hata za kuhongwa unanunua la kwako..
Kwakweli hata kama ni mie nafanyiwa hivo sitaki tena kulipanda
Yani acha tu, teh kwanza hata kabla hajalinunua hakumtaarifu wifeMfyuuuu
Si akamuoe dada yake....
Mwanbie mke kama ana gari akisafiri hadi nguo ahamishie kwao....
Mijanaume anbayo haijakomaa akili sijui kwa nini inaoa
Uchoyo ubinafsi that's allDon't rush into one-sided judgemental opinion kwa vile tu anaefanyiwa hivyo ni mwanamke mwenzako. Huwezi kujua ni nini/nani chanzo cha hiyo behavioural action which appears likely to be a 'mistreatment' kwa mkewe. Better you could hear the other side of the story so as to know the real shits popping-up in such marriage.
Yani acha tu, teh kwanza hata kabla hajalinunua hakumtaarifu wife
kila siku linalala kwa jirani akisafiri linalala kwa dada
wife akagundua after two months mme ana gari
ntasutwa!!! Ila wanaume wengine ni wakushauri warudi kwa mama zao tu...wana ndevu ila ni watoto
Evelyn Salt njoo uoneJamani msiwe wepesi wa kuhukumu mambomkama hayo,,
Kwani sababu anazijua mume na mke
Mfano nakumbuka nilivyo kuwa darasa la nne baba angu mdogo alikuwa ameowa ila hela ya matumizi alikuwa anamwachia dada wa kazi..
Akisafiri funguo za gari anaacha kwa jirani..
Matumizi yote dada wa kazi..kumbuka hapo wife hana kazi
Tatizo lilikuwa nguvu za giza..
Mke wake alikua anaingiwa na nguvu flani kiasi kwamba anafanya vitu vingi vya ovyo then akirudi katika hali ya kawaida anakuwa hakumbuki maisha alio ishi nyuma..
Ilifikia hatua akiwa unsound mind akawa anaficha mali za mmewe mfano sim funguo za gari
Nk..ikafikia hatua hela zikawa hazikai ndani mfano budget ya mwezi..mke akipewa zinapotea katika mazingira ya utata...
Mke alikuwa akiambiwa unafanya hili na lile akawa haamini,, mpa wamrekodi video..
Sasa mme alifanya maamuzi ambayo mke alikuwa anaumia then analalamika kwa majirani...
So tusiwe wepesi wa kuhukumu..
U wanna tell me kwamba kwenye ndoa zoooote zinazoenda hovyo hovyo na kuyumba, ni wanaume pekee ndo causatives??!!! Nyie wanawake ni malaika eeh? Hakuna wanawake ambao ni wachoyo & selfish kwenye ndoa na huwanyanyasa waume zao?Uchoyo ubinafsi that's all