Recent content by Wakuligo

  1. W

    JamiiForums Tanzania CCM yajipanga kuongoza nchi kwa miaka 75 Ijayo

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya chama katika jimbo la Peramiho linalongozwa na Mh Jenista John Muhagama amewaeleza wanachama na viongozi chama kuwa CCM imeanda mpango wa kuongoza dola kwa miaka 75 kuanzia mwaka 2025. Akizungumza...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameahirisha maadhimisho ya siku ya Uhuru 2018, ataka fedha zilizotengwa zitumike kujenga hospitali mkoani Dodoma

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kuwa siku kuu ya uhuru kitaifa iliyopaswa kufanyika mkoani Dodoma December mwaka huu haitakuwepo na badala yake fedha ambazo zingetumika kwenye sherehe hyo takriban 900mil zitajenga hospitali itakayoitwa Uhuru Hospital. Hospitali hyo itajengwa mkoani dodoma.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Very interesting & meaningful

    6789
  4. W

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Report nzuri imekosa msomaji![emoji38][emoji38]
  5. W

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Inahamasisha sana hii thread, ukizingatia hali halisi ya vipato vyetu inavyoporomoka na ugumu wa kupata kazi mahususi za kifanya. Count me in, on a serious note! Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  6. W

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mr Money!

    Wapuuzinkwelikwli...[emoji30]
  7. W

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mr Money!

    Katika mgao wa TZS 3.1 Billion ambazo airtel wamegawa leo mim pamoja na kuwa mteja maarufu wa airtel mwenye miamala ya maana airtel money nimeambula shs 461 tu bila senti. Airtel, acheni kutuchezea kisaikolojia ukizingatia kwamba gawio lenu ndio tegemeo la kuokoa jahazi kwa sasa baada ya...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini rambirambi igeuzwe chanzo cha mapato ya serikali badala ya kodi??

    Sijui Gambo anashindwa nini kuitisha vikao na wafanyabiashara, makampuni, watu binafsi ma wahisani wengine wengi waliopo Arusha then awaombe msaada wa kufanya ukarabati wa hospitali na matengenezo mengine mengi ambayo anaona inafaa. Naamini watatoa kama lengo ni kuleta maendeleo mkoani...LAKINI...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Bob Marley ana mafanikio mengi na amejiwekea heshima kubwa sana ulimwenguni. Theme ya nyimbo za Bob ni Liberation accross the world! Leo, Bob ni mfalme wa mziki wa Raggae, the same to Lucky Dubey, Alfa Brond, Spears na wengine wengi ambao wameshiriki kupigania uhuru na haki za wanyonge tena...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tigo pesa mnatuumiza mno!

    Basi kuna wizi wa chini kwa chini. Nimetuma 70,000 na nimekatwa shs 3100.[emoji30] [emoji30] ! Uchakachuaji wa juu kwa juu!!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tigo pesa mnatuumiza mno!

    Gharama za kutumia miamala ya simu zinabadilika kila kukicha na hakuna taarifa kwa watumiaji. Kwa sasa ukituma 70,000 kwa tigopesa unakatwa 3,100, hapo kwanza kiwango kilikuwa chini sana nadhani 350 kwa mtumaji na mpokeaji ndio anakatwa zaidi wakati wa kutoa. Kwa sasa si mtumaji wala mpokeaji...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Uhakiki huu ni feki na matokea yake pia ni feki. Huwezi kusema unahakiki vyeti kwa upendeleo wa wazi na kujificha nyuma ya sheria za kizamani ili kulinda mtu au watu. I see no regitimacy of the report and actions taken thereof! Ni uonevu wa wanyonge...basi!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Gazeti maarufu duniani, Washington Post, laichambua Tanzania

    drug lords in actions!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kama ikithibitika ilikuwa staged, Nape Nnauye aondolewe CCM maramoja!

    Bashite alienda clouds na mitutu na akatisha watu, hata hao askari wengine wanatumwa tuuu...hata sio kosa lake! No fasheni sasa hv kutishiana mitutu ya bunduki.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Watumishi wa umma wameishi kama malaika kwa mda mrefu. Wamesafiri sana safari za nje wakilipwa mamilioni na kujilimbikizia mali nyingi za kuliko vipato vyao. Wamekuwa na vipato vingi visivyo halali kiasi kwamba kwao ' laki si pesa'! Kwa sababu hizo sasa, wakati umefika chama kinarudisha nidhamu...
Back
Top Bottom