Hakuna watu wanao ongoza kwenda kwa waganga Kama WANAWAKE na viongozi Mimi nilikua na rafikiyangu mganga yani kunakiongozi ambao alikua anawashughulikia Mambo yao alikua akinitajia mpaka naogopa halafu kwenye uchaguzi alikua anawatengeneza wakishinda wanamletea ma smartphone kwakua jamaa alikua...
Ila kunamtu alikua anasimlia simlizi ya huko alisema maisha ni magum Tena akasema usiombe ukutane na wabongo mateja yani watakulazimisha ujisaidie wapekue kinyesi waone Kama kunaunga ila alisema kua wabongo wanapendwa Sana na madem wa south Africa sijui nikweli
Sent from my TECNO B1f using...
Kunajamaa aliopoa Dem baada yakumaliza kufanya yake Dem akageuka akawa dume hafu akamwambia namimi nataka jamaa alizimia hayo Mambo yapo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wasomi ni wengi ajira ni chache cha kufanya ni watu kuwa wabunifu badala ya kubweteka jiingize hata kwenye ujasiriamali.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mchungaji kalala hapo lazima ng'ombe na mbuzi wajiachie kwenyemashamba tutaludi kulekule vijana kuhalibika na kupoteza nguvu kazi ya taifa.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.