Recent content by Wakukaya2

  1. W

    JamiiForums Tanzania The I am poem

    I am a herro. I am champion I am a leader. I am genius. Yes, I am. Do you know who you are?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Kwani si tumesoma mambo ya survival of the fittest? Subirini wajinga munaojiita wasomi muwe perished away, na muda Si mwingi wimbi Hilo Lita wa perish. Nyingi muliona Obama alipata vizingiti kiasi gani alipo amua kuleta wazo la Universal health care kule Amerika.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Nilichogundua Mimi, ni sisi wananchi asilimia kubwa ni wajinga, wasomi ndio wamekuwa wajinga wa kupitiliza. Wanasiasa sio wa kiwaamini, hasa Hawa wa Afrika, hivi Tazama nchi zilizoendelea Wana elimu Bure? Wana Afya ya Bure? Wananishato ya Bure? Wana pembejeo za Bure? Sisi wapenda Bure...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Nilichogundua Mimi, ni sisi wananchi asilimia kubwa ni wajinga, wasomi ndio wamekuwa wajinga wa kupitiliza. Wanasiasa sio wa kiwaamini, hasa Hawa wa Afrika, hivi Tazama nchi zilizoendelea Wana elimu Bure? Wana Afya ya Bure? Wananishato ya Bure? Wana pembejeo za Bure? Sisi wapenda Bure...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

    Ila mjadala huu haupaswi kuendelea, ili tuishi kwa amani ni lazima tukubali kutokubaliana. Hii ni kanuni ya kimaumbile, na uislamu umeikubali Hilo, Amesema Allah " Enyi mliokufuru, Wala msiabudu ambacho sisi tunakiabudu, na Wala sisi hatutoabudu nyinyi munachokiabudu, Wala musimuanudu tunae...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

    Neno sisi, hainamaana ya uwingi tu, wakati mwingine inaonyesha uwezo mkubwa, au exaggeration. Unaposema wewe mwenyewe " Usibishane na sisi bwana , tunatisha, Hali ya kuwa upo peke Yako inamaana gani?. Lakini pia mungu si muhiyana wa kupongeza nafasi ya viumbe wengine. Wakati anamuumba binadamu...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

    Sasa kama yesu ndio mungu, Sasa mungu si ndio anatoa hukumu, iweje abatizwe ili kuondoa zambi ya asili, kwahiyo mungu wenu anazambi ya asili, sababu yesu munamuita mwana wa mungu, na nyoka huzaa nyoka, na mungu si alizaa mungu? Kwa mtazamo wenu.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Diploma, Degree au PhD uliyonayo, kichwa chako kinabaki na nini?

    Nimekuelewa sana kwakweli, huo ndio ukweli, ni vizuri tukaanza mifumo yetu wenyewe, ila hawatatuacha tuanze.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Itakuwa vigumu Watanzania kumchagua Tundu Lissu kama Rais kwa sababu muda mwingi anaishi Ulaya!

    Yaani Sasa hapo Lisu ndio anakosea sana. Watu wanalalamika rais kusafiri, ila wanaona sawa Tundu Lisu kuishi ulaya alafu muda wa kampeni anarudi bongo kugombea. Tundu Lisu hataki ku experience maisha ya bongo kabisa. Hata akipewa nchi ndio atahamishia ofisi ya rais huko Ubelgiji. Da huyu mtu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    Mimi kwetu bwana ni mwisho wa nchi, yaani dakika mbili tu nipo Mozambique, ila umeme umefika, mtandao wa maji upo, maji ndoo kubwa tshs 25. Mabomba mpaka yanapasuka.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba Sekretarieti kuu ya CCM kuprint fomu moja tu ya Rais Samia

    Sisi watu wa chini mama Ametufikia, hakuna mtu wa kusema kahongwa, au na wewe unaemoinga umehongwa na nani ili kupinga mawazo ya wengine?. Tazama bei za mazao, Tazama capital inflow, Tazama ujenzi wa vituo vya Afya, miundombinu ya Barbara za vijijini na mjini. Tazama umaliziaji wa miradi mikubwa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge Atupele Mwakibete amshukuru Rais Samia, asema Busokelo Sekta ya Afya Wamepiga Hatua Nzuri Sana

    Haya ni machache ila amefanya mengi nchi mzima.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Jamii forums.

    Wiki tatu zilizopita, niliandika humu Jamii forums, juu ya kuishauri serikali kufungua mpaka wa Mozambique na Tanzania ( Mto Ruvuma). Ili kuruhusu korosho ya Mozambique kuingia Tanzania, nikaeleza kinaga ubaga sababu ya hoja zangu. Nashukuru wenye mamlaka wamechukua maamuzi, mpaka umefunguliwa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huenda Rais Samia akawa ndio Rais anayevuta watu wengi zaidi kwenye mikutano yake kuliko marais wote waliomtangulia

    Samia ni Mkweli, na mchapa kazi. Anayafanya yanayopimika. Kaeleza kero zote za kusini, na kuanza kuzitatua, na mipqngo yake ya kutatua kero mama kama bei ya korosho tumeilewa. Lakini Kiwanda Cha kuchakata gesi asilia na kuuza Nje kujengwa Lindi, hiki ndio kilikuwa kilio Cha watu wa kusini tangu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Ikikupendeza Mwenyekiti wetu, ni muda sahihi wa mabadiliko ndani ya CCM

    Yaqni kaka, kama kunawakti UV Ccm wamelala ni muda huu, Bora hata Shaka alikuwa vizuri. Mimi wanaosema Kuna hujuma kwa mama ninaamini, maana anayofanya ni mengi, ila Ccm wapp kimya, sio UV Ccm Wala Chongolo, Wala Yule mwenezi simuoni, mwenezi ameshindwa na kijanq Abdul Nondo wa ACT, da ni...
Back
Top Bottom