Recent content by wakorawaitu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na NACTE

    me pia nimeandikiwa hivyo so nipo njia panda tusaidieni please.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    kichwapanzi natamani nikuone jamani kweli malipo ni duniani nikikumbuka alivyorudisha nyuma harakati za mabadiliko nimeamini mungu analipa kwa wakati hii story ni kama ya daudi na goliati mange anastaili alichokipata
  3. W

    JamiiForums Tanzania NHIF na ubaguzi wa wategemezi

    ya ni jipu asa kuna mtu yeye na mume wake wote ni watumishi wana watoto wa 2 kwa hiyo wote yanatumia bima ya mwanaume cause ni green card ya mwanamke hajamsajili mtu ata mmoja na wanamkata lkn ata house girl wamekataa asimuweke je c ufisadi akaomba ajitoe wakasema haiwezekani
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    da ni uonevu watoe usafiri wa watumishi public transport zinasimama kila kituo mtu katoka mbweni SAA 11 asubuhi it means atafika kuanzia moja na nusu hapo aliamka SAA kumi kujiandaa.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Baba Lowassa, Sumaye na babu Kingunge sheria ni msumeno

    sasa lowassa na kikwete nani ameambulia aibu kwa hali ilivyo sasa?lowasa atabaki kuwa shujaa wao.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Siri ya baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya imefichuka, kumbe baadhi yao..

    mkuu kweli Fabian massawe angetufaa dar ni jembe sana.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Serikali kuondoa ajira za kudumu za umma, Juhudi na bidii ya mfanyakazi kazini kuamua hatma yake

    waangalie na masilai ya watumishi mshahara laki tatu,kodi ya nyumba,kusomesha watoto,nauli bado chakula
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sio haki, kikatiba kwa Dk Shein

    sasa mwisho wa hizi dhuluma ni nini?nani atatusaidia dhidi ya hawa wenye nchi,maana sitashangaa shein akatangazwa rais na maisha yakaendelea kama ilivyofanyika bara.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hivi bunge la 11 ni bunge la Tanzania au Tanganyika?

    sasa kitambulisho cha kupigia kura kilikua kilekile kimoja au?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nani alaumiwe kwa hili hapa Tanzania

    wananchi ndo tulaumiwe maana hawa viongozi wanacheza na akili zetu tu,
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lowassa yawezekana wakawa tatizo CHADEMA

    kama ni tatizo c uwaache wewe inakuuma nini?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    huyo HP amuulize zito alijiona maarufu mwishowe amepotea kisiasa sasa na yeye ndo yamemkuta.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mama Lishe na Bodaboda Sumu haionjwi tumuogope Lowassa kama Ukoma

    ata kama anatudanganya mwache tu the point ni kuiondoa ccm madarakani wakishindwa miaka mitano c mingi tutairudisha tumechoka.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    wamasai sio waongeaji unazijua siasa za sokoine?
Back
Top Bottom