bongobongo
Member
- Jul 28, 2015
- 82
- 30
Ukitaka kujiunga na nhif lazima wategemezi wawe mke na watoto. Hv kama nataka kuweka wategemezi wengine hawaruhusu. Waziri wa afya hili shirika nalo ni jipu hebu mlifatilie kuna matatizo mengi huku
Babu na Bibi je?Inaruhusu MUME / MKE / MTOTO/ MZAZI
ya ni jipu asa kuna mtu yeye na mume wake wote ni watumishi wana watoto wa 2 kwa hiyo wote yanatumia bima ya mwanaume cause ni green card ya mwanamke hajamsajili mtu ata mmoja na wanamkata lkn ata house girl wamekataa asimuweke je c ufisadi akaomba ajitoe wakasema haiwezekani
Alafu hawa jamaa wanachelewesha kutoa kadi huku Kagera. Nimejaza fomu tangia mwezi wa kumi lakini hadi sasa hawajanipatia hizo kadi na makato yao wanakata kama kawaida.
Mimi nimemwingiza mdogo wangu as one of dependant..niliambatanisha affidavit of dependency as evidence..nadhani inakubalika or else itakuwa inategemeana na mwajiri
Bora wewe mi nimejaza karagwe mwezi wa 3 mwaka jana,mpaka leo kadi sijapata,na Karagwe sipo kwa sasaAlafu hawa jamaa wanachelewesha kutoa kadi huku Kagera. Nimejaza fomu tangia mwezi wa kumi lakini hadi sasa hawajanipatia hizo kadi na makato yao wanakata kama kawaida.
Kwa mwanasheriaHiyo affidavit of independency inapatikanaje mkuu