Uloi nga mâché68
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 486
- 153
Toa ushahidi namna ulivyoibiwa kura ingawa najua hukupiga hata kura yenyewe!
Uloi nga mâché68;14803108 said:Huwa nawacheka sana Wasaliti wa CCM kina SUMAYE, KINGUNGE , MWAPACHU na wengi wao ambao waliamini CCM itashindwa na Lowassa atakuwa Rais wapewe vyeo! Hakika wameaibika sana! Sijui sura zao wataweka wapi? Wengine wanalipwa pensheni kibao kwa pesa za walipa kodi lakini bado walihadaiwa na LOWASSA kwamba atawapa Vyeo. AIBU SANA! WAMEUMBUKAAAA!
kura fake kukamatwa kila sehemu tena jina la mapadlock ndiyo kapigiwa, Ni kiashiria cha....Uloi nga mâché68;14803214 said:Toa ushahidi namna ulivyoibiwa kura ingawa najua hukupiga hata kura yenyewe!
Aisee.........sasa tutawasaidiaje..........?.......
Njoo unikamate acha kutapatapa, CCM MMEIBA KURA... At least kasi ya makomeo kidogo imenisuuza roho. Ila ukweli mmeiba kuraUloi nga mâché68;14803229 said:Stori za kwenye vijiwe vya bodaboda hizo. Muulize mwenzako aliyezusha uwongo kuhusu CDF. Nawe tutakukamata utoe ushahidi wa hayo kama hutoiacha bodaboda na kurudi kwenu Moshi!
Njoo unikamate acha kutapatapa, CCM MMEIBA KURA... At least kasi ya makomeo kidogo imenisuuza roho. Ila ukweli mmeiba kura
Uloi nga mâché68;14803108 said:Huwa nawacheka sana Wasaliti wa CCM kina SUMAYE, KINGUNGE , MWAPACHU na wengi wao ambao waliamini CCM itashindwa na Lowassa atakuwa Rais wapewe vyeo! Hakika wameaibika sana! Sijui sura zao wataweka wapi? Wengine wanalipwa pensheni kibao kwa pesa za walipa kodi lakini bado walihadaiwa na LOWASSA kwamba atawapa Vyeo. AIBU SANA! WAMEUMBUKAAAA!
tuwashauri warudi kijijini wakachunge.
Nampenda lowasa, napenda vyama upinzani hata wangeweka jiwe ningelichagua ila CCM bado Sana, kihalali hamjashinda!!!kura mlizoiba zitawatokea puani Insha'Allah
Hao ni wakutusaidia sisi tuliojichokea, hakuna hata mmoja kati yao tunaemfikia kimaisha, juzi tu Lowasa kawapa laki tano tano wale wachimbaji wadogo Apolo walionusurika kifo. hii thread ni ya mtu mwenye njaa ambaye maisha yamemshinda sasa ni chuki tu bila sababu, ati sisi ambao hatuitaki ccm jina letu ni wasaliti! haitokaa itoke tena milele kwa ccm kuipata kura yangu never over my dead body.
Nampenda lowasa, napenda vyama upinzani hata wangeweka jiwe ningelichagua ila CCM bado Sana, kihalali hamjashinda!!!kura mlizoiba zitawatokea puani Insha'Allah
Haroo wew hujaenda kuhesabiwa? Ukawa wenzio wote wapo moshi saizi....
Uloi nga mâché68;14803108 said:Huwa nawacheka sana Wasaliti wa CCM kina SUMAYE, KINGUNGE , MWAPACHU na wengi wao ambao waliamini CCM itashindwa na Lowassa atakuwa Rais wapewe vyeo! Hakika wameaibika sana! Sijui sura zao wataweka wapi? Wengine wanalipwa pensheni kibao kwa pesa za walipa kodi lakini bado walihadaiwa na LOWASSA kwamba atawapa Vyeo. AIBU SANA! WAMEUMBUKAAAA!
Wewe ni wa kupimwa akili, nenda ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kaulize kazi za vyama kisha nenda mahakamani kawaulize kuna jinai ipi mtu kuhama ccm? kenge wewe.
Katika hao wote uliowataja huwapati kwa lolote kimaisha wewe na ukoo wenu wote, hata mbwa tu wa Lowasa ana maisha mazuri kuliko wewe mbumbumbu na zuzu wa kwanza.