Recent content by Wakati

  1. W

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Karibu mama, wewe ni mmoja katika ya wachache sana katika baraza la mawaziri walio "objective and open-minded"
  2. W

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    Nakumbuka kuna wakati Nape ulikutanishwa na Mnyika na vijana wengine katika siasa za bongo katika kipindi cha "This week in perspective", hakika Mnyika alikufunika sana!. Discuss issues bila mipasho, watanzania wa karne angalau watawezakukuelewa, vinginevyo unakiathiri chama chako.
  3. W

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    Kweli kabisa. Baba yangu alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na kwa miaka mingi tuliishi nyumba isiyo na sakafu, tena yeye akiwa mwalimu mkuu!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Masoud: Wakati umefika Zanzibar kuwa na mamlaka kamili

    alikuwepo pia Alfa mohammed - Anglikana Singida.
  5. W

    JamiiForums Tanzania CDM yamhenyesha Pinda uingereza

    Blogu ya Wananchi: WAZIRI MKUU ALIPOKUATANA NA WABONGO UK!!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

    hakika mungu wetu ni mkuu sana hakuna linalomshinda
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

    Baadhi ya vyuo UK wanalokea watu wa ordinary diploma kwa MSc. Binafsi nawafahamu watu watatu zaidiwenye Masters za staili hii.
  8. W

    JamiiForums Tanzania JK Kwa uteuzi huu tuonee huruma - Ulega Hamis Abdallah DC mpya Kilwa

    Alisoma UD mwaka 2002-2005 (BSc. Aquatic Science and Microbiology)
  9. W

    JamiiForums Tanzania Makinda alegea kwa Lissu kuridhia hoja ya kutokuwa na Imani Waziri Mkuu

    Mzee mbona hiyo group haipo?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Press conference ya ministers kujiuzulu inaendelea Source Zitto twitter account
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kigoda cha Mwalimu: Prof. Shivji vs Mkapa

    Waheshimiwa mbona mwapiga muziki tu..vp kigoda kishaisha?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kigoda cha Mwalimu: Prof. Shivji vs Mkapa

    mbona hawa mambo fm wanapiga tu muziki ama kigoda kimefikia tamati
  13. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wako tayari kumpokea Lowassa

    Hivi inawezekana hata tuhuma za rushwa dhidi ya EL ktk uchaguzi wa Arumeru Mashariki pia hazina ukweli?
  14. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wako tayari kumpokea Lowassa

    Siamini ninachokisoma hapa..kweli EL ana mkono mrefu. Nini alichonacho EL ambacho hakipatikani ndani ya CDM?. Huyu jamaa akiingia huko haya ni baadhi ya mambo ambayo hayatakwepeka 1. Dhambi ya makundi kushamiri ndani ua chama 2. Kutoweka kwa tofauti kati ya CDM na CCM katika kupiga vita rushwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Rushwa yakithiri mchakato wa kuwapata wawakirishi wa bunge la e.a

    Inasemekana zoezi la kuwapata wawakilishi wetu katika bunge la Afrika mashariki limegubikwa na rushwa kwa kiwango kikubwa kiasi cha kuleta wasiwasi juu ya uthabiti wa ushiriki wetu kama nchi katika bunge hilo lijalo. Source: https://twitter.com/#!/zittokabwe
Back
Top Bottom