Recent content by Wakanda2021

  1. W

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Aisee imakera sana ukizingatia bajet yako inagoma alafu unaacha kuwaza ni kwa namana gn utaiweka bajet yako sawa unawaza michango ya kadi 10.Duh kama hujajiandaa funga ndoa yako kimya kimya bn na c kutupa stress hapa
  2. W

    Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

    Usiwaonee mabint wa watu wkt kuna madume wananyonya hadi nyumeni kwa m'ke
  3. W

    Natafuta mchumba

    Ngoja mm naja
  4. W

    Aina ya watu na vitu vinavyoudhi zaidi maofisini!!

    Aisee mi nakuonga mkono kuja na watoto ofisini nakereka,kila mtu akisema aje na mtoto wake ofcn hiyo ofc cjui itakuwa wodi tn mana.unakuta kikaoni kaja na mtoto wake anaanza kuita mamaaa kikao kinaendelea wanaboa hata cc tuna watoto lkn tunaheshim ofc na kazi bn
  5. W

    Ushauri wenu jamani

    Hakuna shaka kbs
  6. W

    Ushauri wenu jamani

    Hakuna shaka kbs
  7. W

    Ushauri wenu jamani

    Hana mke na wala hajaoa mana huyo m'ke nilionana naye na tukaongea mengi tu labda ungeniambia mm nimpotezee tu mana kashavunja uaminifu kbs
  8. W

    Ushauri wenu jamani

    Asante kwa huo ushauri lkn kiukweli hana mke na wala hajaoa s'bu nilienda nikaonana na huyo m'ke na akanieleza vzr tu ukweli wote labda cha kufanya ni mm nimpotezee kwan ameshavunja uaminifu kwangu.
  9. W

    Ushauri wenu jamani

    Nina mchumba ambaye nimekuja kugundua kuna m'ke mwenye watoto wa3 anaishi naye.Nikambana sn na kumweleza nimelifahamu kwa njia gn,alikataa badae akakubali na kuniomba msamaha na kuanza kunieleza kuwa yule ni m'ke tu anaishi naye na amemkuta na watoto wake na yuko tayari huho m'ke kumwambia...
  10. W

    Binti kutoa uchafu uken wakati wa tendo la ndoa

    Utoto unakusumbua na biology imepita pembeni. mwanamke anapokaribia kuingia kwenye siku zake kabla ya wk wengne siku 3 huwa na mabadiliko ya kimwili na hilo likiwemo na tofauti ni pale wengine kuzidiana kutokana na maumbile na badaye huisha na huanza cku zake mpka mzunguko mwngne tn,ila ukitoa...
  11. W

    Simwelewi,ushauri tafadhali

    Habari wana Jf? Mko ndani ya mahusiano na mwenzako,mkajikuta mkipiga story story siunajua tena mtu unapotaka kujua msimamo wa mwenzako, mara ukachomekea swali ukajibiwa hivi " sijawahi kufikiria kuoa na wala sina mpango wala wazo hilo". Nahitaji ushauri kutokana na jibu hilo.
  12. W

    Kuua mbegu za kiume zisizalishe

    Habari wana JF,poleni na majukumu ya kila cku. Njia gani mwanaume anaweza tumia kuua mbegu asiweze kumpa mwanamke mimba? km wazuiavyo w'ke,je kwa m'me nayo inawezekana? Madr fungukeni mnisaidie kufahamu hili.
  13. W

    Huyu my number one simuelewi

    Mh! ndo umeamua kwenda kuniombea ushauri Jf,we km unaona ni kero siuniteme tu kupunguza kero mpk uje Jf. Inaonekana wazi huna uhakika na mapenzi yako kwangu na ndo mana unakerekwa nami.Usijali najivua mi mwnyw mkaka.It's me ur no one
  14. W

    LOWASSA: Obama asigusie ushoga, ndoa za jinsia moja

    Hatujakataa kuwa hakuna mashoga wapo tn wengi km usemavyo ila tunachopinga hapa kuhidhinisha huo Ushoga,acha waendelee kulambwa uchochoroni hukohuko na barazani
Back
Top Bottom