Wakanda2021
Member
- Apr 27, 2013
- 70
- 8
Habari wana Jf? Mko ndani ya mahusiano na mwenzako,mkajikuta mkipiga story story siunajua tena mtu unapotaka kujua msimamo wa mwenzako, mara ukachomekea swali ukajibiwa hivi " sijawahi kufikiria kuoa na wala sina mpango wala wazo hilo". Nahitaji ushauri kutokana na jibu hilo.