Recent content by wajenzi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Thanks kiongozi ntaangalia possibility ...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Habari wajenzi..... Naish Dar es salaam Riverside... Nataka kufuga kuku wa kienyeji (ni mfugaji wa siku nyingi) sasa kwa kua eneo langu finyu, nataka yake MA BANDA (READY MADE) YA KUFUGIA KUKU YA KISASA YALE..... WAPI YANAPATIKANA??
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kutengeneza database anatafutwa

    Nicheki pm
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kama bodaboda hazitakiwi ila akufukuzae hakuambii toka

    Issue ni kwamba makosa yanapozidi ndo city wanavopiga hela..... Traffic na mabosi wao na city..... Na kilio sio tu Bodaboda ( bora hio ni biashara inaeleweka... Usafiri binafsi wa pikipiki wanataka ulipie laki kwa miezi 6 yaani jiwe2 kwa mwaka..... Kisa tu ni pikipiki...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kama bodaboda hazitakiwi ila akufukuzae hakuambii toka

    Yeah sure ila hii ni some kind of a movement ambayo nadhani wadau wana mchango mkubwa...... Hamna kituo chochote cha wanasheria kinachodeal na haki za kiraia?? Rip Mzee mtikila
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kama bodaboda hazitakiwi ila akufukuzae hakuambii toka

    Kama ningepata msaada wa mtu anaejua sheria nakusudia kuishtaki serikali ya jiji..... Haiwezekani kibali cha kuendesha pikipiki mjini ni kikubwa 50 zaidi kuliko premium insurance huo ni wizi....
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tozo za kuendesha pikipiki binafsi mjini

    Sjui kwa wanaojua taratibu ila naamini magari yanalipia vehicle licence kwa mwaka kama pikipiki..... Road licence sjui kama bado ipo ila nadhani wote wanalipia tozo standard kwa serikali..... Sasa kwa nini pikipiki zilipie tena 200000 kwa mwaka kuendesha mjini wakati hata barabara maalum za...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Clouds FM inasikilizwa kuanzia usiku, E-Fm yatawala mchana

    Efm wabaki Dar pekee at least kwa miaka 4/5 mbele...... Kilichoifanya clouds iwe hapa ilipo leo.... Watu wa mikoani wanakua obsessed nayo wakija town wanaskiza hio tu
Back
Top Bottom