Tozo za kuendesha pikipiki binafsi mjini

wajenzi

Member
Jul 12, 2016
8
6
Sjui kwa wanaojua taratibu ila naamini magari yanalipia vehicle licence kwa mwaka kama pikipiki..... Road licence sjui kama bado ipo ila nadhani wote wanalipia tozo standard kwa serikali..... Sasa kwa nini pikipiki zilipie tena 200000 kwa mwaka kuendesha mjini wakati hata barabara maalum za pikipiki hamna??? Hivi haiwezekani kuipeleka serikali ya jiji mahakamani ku demand either ifutwe au ipunguzwe.....?
 
Back
Top Bottom