Recent content by Wailes Josiah

  1. W

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Tundu Lissu huyu yu ana hoja nzito

    Niwale police wanoenda upande WA adui kama adui kumbe police uchwara Sent using Jamii Forums mobile app
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais Magufuli usije kumtafuta mchawi!!

    Kawakosea nini mkuu WA mkoa kama sio ushabiki
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais Magufuli usije kumtafuta mchawi!!

    Muitafute haki kwa ajili yanani
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Ni code za wananchi
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msomi ni nani

    Bora uwe na elimu kuliko msomi... Hata biblia inasema itafute sana elimu isije ukaiacha iende zake... Ukielimika unapata kuwa huru sana wakutambua mambo mengi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Sijaona mmasai mlemavu wa kuzaliwa iwe ulemavu wa viungo au wa ngozi

    Walemavu wapo. Kuna mmasai huwa anaendesha baskeli kwa mkono
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wamachinga bandia wajazana Kariakoo, ni hatari sana!

    Nikweli unavyosema kaka
  8. W

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Yahya Jammeh congratulate mr barrow and then address the nation

    hapo vipi?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Inaelekea mapepo huwa yanaogopa sana sauti kubwa za spika

    Utakuta kikanisa Kidogo maspika karibu 10 unatoka masikio hayasikii vema
  10. W

    JamiiForums Tanzania Inaelekea mapepo huwa yanaogopa sana sauti kubwa za spika

    Hapo zamani hakukuwa nahayo maspika naneno LA mungu lilikuwa linapenya ndani ya mioyo ya watu.. Lakin skuiz makelele ndio mapepo yatoke.... Vizazi vya nyoka vivyo saiv ujanja ujanja tu... Mbinu yakupata utajiri.. Naakipata anaanza kumshukuru mungu kwa kumpa utajiri badala yakuwashukuru wale...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Inaelekea mapepo huwa yanaogopa sana sauti kubwa za spika

    Mimi pia huwa nachukia sana
Back
Top Bottom