Kweli lowasa kakaakimya kwa sababu zifuatazo1.Hata pale alipopewa nafasi ya kuongea alikua hawezi kuongea 2.Ana machungu ya kushindwa 3.wajanja wamekula fedha zake .#
Wanaukawa waislamu NA wakristo KAMA mngewaamini MUHAMAD NA YESU KRISTO KWA KIWANGO MNACHOMWAMINI MBOWE MGEKUA WATU WA PEPONI.KILA MNACHOAMBIWA MNAKUBALI BILA KUTUMIA AKILI ZENU.ACHENI KUDANGANYWA .
Je HII mahakama inafanya kazi kwa siku maana naona wameenda juzi sijui ni lini wamefungua shauri likapokelewa wakawasilisha hoja .ninavyoelewa nyara za mahakama zakuitwa shaurini huwa mtu haambiwi njoo kesho mahakamani ANAPEWA muda wa kukusanya nyaraka zake za utetezi.naanza KUA NA wasiwasi
Kinana kiongozi makini ndio amehuisha ccm NA kuweka hapo ilipo leo lau KAMA si juhudi za ke binafsi alitembea kila. Kijiji tanzania akinadi chama.amesimamia kampeni za ccm kwa umakini mkubwa NA ustadi.binafsi nampongeza.
Nasikitika sana pale ninapoona WATU wakisema watanzania wengi bado ni wapumbavu kwasababu ya kutofautiana kwa mtazamo kila mtu amepewa uhuru wa kuchagua dini,chama etc KAMA anavyona NA kumini kwaba ni sawa.ikiwa mmeshindwa au kushindwabasi tukubaliane ,tusitukanane wala kupigana kwasababu...
Mnayo itv yenu NA u4soro simuangalie hiyo au fungueni yenu hata mimi sikubali KUA nateam inayoshindwa.tbc mbaya star tv mbaya azam mbaya haya anzisha yako uone KAMA watakuingilia.ccm mbele kwa mbele.
Kutamka kwa mdomo Mbona rahisi hata mimi nakuambia mangufuli atashinda kwa asilimia 99.9.hata meneja wa rungwe au dovutwa hakwambii watashindwa ndio maana wako kwenye kampeni.ukweli ni25/10.hapa kazi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.