Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

100% kesho nilikuwa nika nunuwe kingamuzi chao kwaiyo nibora niache maana watu waliwasifia siku mwanzo mwa kampeni asnte bora pesa yangu nile kwa furaha 25 na 26 na 27oct maana lazima lowassa ashinde


Mkuu we kakinunue tu labda watabadilika coz nahisi kuwa uongozi wa Azam tv hauna taarifa na hiki kinachotendeka field. Kakuru Msimu siku hizi hasikiki kama mwanzo wa kampeni.
 
We waache wataanguka anguko la star tv.
Wastuletee uchama interest zao badae ila wajitahidi ku equalize mambo ili tuwaalewa na kuwa amin
ITV big up Kiukweli mna kuelewa na mfano muigwe
 
ukawa bwana hamjielewi kabisa,subirini tarehe 27 ndo mtazimia kabisa

Wapo watakaovunja Tv zao baada ya matokeo na wataanza kuwalalamikia samsung, panasonic, sony, singsung etc kuwa Tv zao ni mbovu na za sisiemu, hawa jamaa hawasomeki kabisa.
 
Azam mlianza vizuri sana,lakini kitendo cha kuwabeba fisiem mnaonekana hamna tofauti na wakoloni weusi Tbccm.
 
Kama hataki tuangalie tunawadiss kama Tbc clouds, na Star tv. hawani impact saa hii ila wataisoma namba
 
Kile kingamuzi cha azam ninacho nakitumia kuangalia mpira tu toka nimuone Gideon Shoo akiwa mchambuzi wa siasa na uwezo hana anadhani anauliza kama vile hajui kinachoendelea jimbo husika na kuponda upinzani kasoro ACT na yule mtangazaji wa uchaguzi majimboni kile sio standard ya Azam -hazungumzii hata matokeo ya serekali za mitta, kampeni zilivyo kwa sasa yeye ni matokeo ya 2010 tu AZAM fukuza hawa substandars kina Shoo na ba yake pale mwenge CCM AACHE KUTUZINGUA NAUZA KINGAMUZI NA DISHI VYOTE 3000 ELFU TATU TU
 
Acha ukima wewe we unamamlaka gani ya kuwa pangia camera zao zifanyeje kazi hii sio tv ya wamachame mnayoongeza ukubwa wa picha ktk mikutano yenu ya huyo Mr Chato wenu
 
Acha ukima wewe we unamamlaka gani ya kuwa pangia camera zao zifanyeje kazi hii sio tv ya wamachame mnayoongeza ukubwa wa picha ktk mikutano yenu ya huyo Mr Chato wenu
Zumbukuku
 
Mnayo itv yenu NA u4soro simuangalie hiyo au fungueni yenu hata mimi sikubali KUA nateam inayoshindwa.tbc mbaya star tv mbaya azam mbaya haya anzisha yako uone KAMA watakuingilia.ccm mbele kwa mbele.
 
Mwaka huu lazima mnye mezani tena kwa shuruti, mnalalamika sana na mbowe ndo alipochemka, kawajenga bavicha ktk msingi wa kulalamika tu, hawana solutions! mnakimbia hadi vivuli vyenu!
Shida sio wewe ni malezi na taabu ulizoshiba ktk ukuaji wako.
 
Najua lazma trh 26 mtaanza "wameiba kura" mara "hapa had kieleweke" mtajuta maana najua magufuri ndo rais awamu ijayo
 
Tunashukuru Mungu kuwa ITV ndiyo inayotazamwa na watu wengi sababu iko kny kila king'amuzi, hao azam anayewaona ni yule mwenye king'amuzi chao tu.
Hii azam ni nguvu za soda tu soon tutaelewana tu.
 
Mtu anayedhani Ccm itarudi madarakani kwa mgongo wa Magufuli!,!!!!!

anajjidanganya Maana hawezi kupata 38% ya kura zote
 
Azam kawekeza sana kwenye tech, na waandishi wazuri ila vipindi ni zero kabisa, hawana mtu alieanzia hapo.. majina makubwa ila hakuma kitu
 
Azam Tv hiki mnachofanya hakivumiliki.

Wananchi tulianza kuwaamini sana kwa huduma zenu za matangazo ya televisheni. Taarifa zenu za habari na hasa Campaigns zilikuwa balanced kwa vyama vyote vikubwa vya siasa na hasa CHADEMA/UKAWA kwa upande mmoja na CCM kwa upande mwingine zilikuwa balanced bila bias yoyote.

Lakini kwa takribani wiki mbili zilizopita tunaona tofauti kubwa sana na hasa kwa upande wa mgombea urais wa,CHADEMA/UKAWA Mh. Edward Lowassa. Taarifa za mikutano yake hamzioneshi vizuri siku hizi na hata kama mtaonesha huwa camera zenu zinawakwepa umati wa wahudhuriaje ambao huwa ni wengi na badala yake mnaishia kuonesha high table tu.

Na kwa siku ya leo ndio mmetia fora kabisa. Licha ya kuacha kuonyesha mikutano ya Lowassa huko kanda ya ziwa lakini pia mmetunyima kusikia alichosema Mh. Freeman Aikael Mbowe juu ya Msiba wa M/kiti mwenza wa UKAWA Dr. Emmanuel Makaidi. Wakati mtangazaji anatangaza hiyo habari sauti ilikuwa inatoka lakini Mh. Mbowe alipoonyeshwa akitoa tamko la UKAWA kuhusu kifo cha Mh. Makaidi sauti ikakata. Ilipoisha habari ya Mbowe sauti ikarudi. Kwa kweli wana-UKAWA wameumia sana kwa hiki mlichotufanyia leo. Na hata hamkuomba radhi.!!!

Am sure Ndg. Tido Mhando ni mtu ambaye ni smart sana na huenda hajui hiki kinachotokea. Huenda anahujumiwa na mafundi mitambo na watangazaji wa Azam.

Azam tv kumbukeni kuwa mna wateja toka vyama vyote na wote wanalipa gharama sawa kila mwezi. Hivyo acheni kutakatisha tamaa wateja wenu. Kama imekuwa ikitokea kwa,bahati mbaya basi ni busara muwe mnaomba radhi.

MODS NAOMBENI MSIUFUTE UZI HUU KWANI TUNA HAKI YA KUONYESHA MASIKITIKO YETU KWA JF IS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.

Ukawa hamuaminiki na mara zote ni watu wa rangi mbili,Naona unampaka mafuta Tido Muhando na kumsifia kwa maneno mazuri,lakini kuna siku mtamtukana na kumrushia maneno ya kashfa.Slaa mlimuita chaguo la Mungu lakini leo amefananishwa na kila kisicho na thamani,amedharirishwa na kushushiwa heshima yake.Kumsifu Tido kwa mwanaukawa ni unafiki wa dhahiri.
 
Back
Top Bottom