Hapa ni kuboresha maslai ya wafanyakazi2 mkuu mfano enginer amesoma kwa tabu si chini ya miaka kumi na saba paka 20 leo anakuja mtt wa lasaba ni mbunge posho, mshahara na gari analo tembelea Enginer hana anaenda kazini na ist ya mkopo leo unakuja kumpa mradi wa milioni 100 asimamie ataacha...
Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe
Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu...
Pole kwa yote Biblia imesema tuwaheshimu wazazi we endelea kumtii na kumpa haki yake kama mama kuna kusudi la Mungu Ndani yako angeweza kukutoa bado mapema ila paka leo unaishi Mshukuru Mungu fanya ibada na tafuta watu wakukushauri kama mama mpe muda atarudi2.
Kwa hualisia ndivyo ilivyo mwanamke kumtegemea mwanaume unaposhindwa kutimiza wajibu hapo ndipo linakuja swala la uvumilivu na upendo aliyonao mwenza wako. Tunashauriwa kabla hatujawekana ndani tuanze kwanza na maisha ya chini sasa vijana sikuhizi tumesha jipata ndio tunavuta majiko lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.