Recent content by wagagagigikoko

  1. wagagagigikoko

    Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

    Wanabodi, leo tena naendelea na zile nakaa zang za malaika na shetani. Kwa wasomaji wapya katika kukumbushaba tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alijua malaika Mkuu! . Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale...
  2. wagagagigikoko

    Acha Waisome Namba, CCM Mbele kwa Mbele

    Wanabodi, leo tena naendelea na zile nakaa zang za malaika na shetani. Kwa wasomaji wapya katika kukumbushaba tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alijua malaika Mkuu! . Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale...
  3. wagagagigikoko

    Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

    KWAHERI DR.SLAA SISI TUNASONGA MBELE. Na Nicholaus Ngowi 1/9/2015 Unapotaka kueleza juu ya siasa za Tanzania hasa katika mfumo wa vyama huwezi kuacha kumzungumzia Dr.Wilbroad Peter Slaa ambaye amekuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa zaidi ya muongo mmoja. Kwa kiasi kikubwa alijitahidi kuijenga...
  4. wagagagigikoko

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Inawezekana ulikuwa na hasira sana wakati unahutubia leo kiasi ukasahau kuwa focus ya upinzani kwanza ni kuiondoa ccm ili kuleta mabadiliko ya kweli ya Maendeleo KWA Tanzania nimekusamehe lakini nadhani utatakiwa kuwaomba radhi watanzania kwa kujaribu kuwavunja moyo. Lakini take it from me...
  5. wagagagigikoko

    Tanzania ni nchi ya 146 kati ya nchi 158 ya wananchi wasio na Furaha

    Tanzania inaongoza kuwa na wananchi wake kukosa Furaha chanzo ITV kipima joto iko live sasa
  6. wagagagigikoko

    UEFA CHAMPIONS LEAGUE: The Road to Milan

    Grp A PSG Madrid Donesky Malmo Grp B PSV Man Utd CSK Moscow Wolfsburg Grp C Benfica A.Madrid Galatasay Astana Grp D Juventus Man City Sevilla Borussia M Group E Barcelona Leverkusen Roma Bate Grp F Bayern Arsenal Olimpyacos Dinamo Grp G Chelsea Porto Kiev Tel Aviv Grp H Zenit...
  7. wagagagigikoko

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "no matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone" Sisi tunasema "no matter whether he will bring development or not we will choose lowasa from ukawa to show the world that Tanzania is...
  8. wagagagigikoko

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Nyerere hukusema pumbavu alisema wajinga Neno wajinga sio tusi kwani tafsiri yake ni mtu asiyejua kitu lakin wakipata elimu hawaitwi tena wajinga Lakini kumuita mtu mpumbavu ni kumtusi kuwa hawezi tena kujifunza Ujinga maana yake ignorance Upumbuvu maana yake fool
  9. wagagagigikoko

    Mbowe abadili gia angani Geita mjini, CCM wakutana kwa dharura

    Sio kweli siasa za Lupa njeru anakubalika ZAIDI kuliko wote
  10. wagagagigikoko

    Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    Jimboni hakupitishwa kugombea Kwa UKAWA ndio maana kaamua kurudi tena kuzimu kule UKAWA Kapitishwa aliyeshinda kura za maoni Chadema
  11. wagagagigikoko

    Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    Jamboni hakupitishwa kugombea Kwa UKAWA ndio maana kaamua kurudi tena kuzimu kule UKAWA Kapitishwa aliyeshinda kura za maoni Chadema
  12. wagagagigikoko

    Kwanini herufi J ni maarufu sana?

    What makes the letter "J" very special is;-JESUS was born in JUDEA which is in JERUSALEM, His father was JOSEPH the son of JACOB. He was baptised by JOHN the baptist in the most popular river JORDAN; which is located at the wilderness of JUDEA. JAMES and JOHN were His best disciples. He was...
  13. wagagagigikoko

    Sababu lukuki za kuinyima kura yangu ccm

    NIMEAMUA KUSIMAMA UPANDE WA UKAWA NA KUMPIGIA KURA LOWASA AWE RAISI KWA MOYO MWEUPEE!! Baada ya kutafakari kwa kina, Na kwa muda mrefu sana.... Nimeamua Kumpigia kura edwardlowassa kuwa Rais wangu wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania bila kujali kashfa zake. Kama kweli alikuwa...
Back
Top Bottom