james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
Namba zinazo someka kwasana T2015CDM,T2015CUF,T2015NCCR,cjui kwenu?
Uzi na comments za kumuhusu Dr. Slaa zimekuwa nyingi sana, yaani unakuta uzi wa lowassa yuko Songea, watu wanaongea ya Dr. Slaa, dozi imeingia na inaendelea kuingia!Baada ya dozi aliyoitoa jana Padre Mstaafu Dr Slaa reaction za wafuasi wengi wa UKAWA ni kuwaomba viongozi wao wampotezee (wasimjibu), wakati wenyewe humu wameshindwa kuvumilia, wanamuanzishia uzi kila sekunde kutokana na speech yake ya jana, hii inaonyesha jinsi gani dawa ilivyowaingia sema ubishi na uvumilivu ndo unafanya muendelee kuwa UKAWA. Kwa maoni yangu mimi ni kwamba jana Dr Slaa kawafunga goli la kisigino tena la ushindi dakika ya 90 Magufuli anajianda kunyanyua kwapa tu, kama kweli mngekuwa hamjali alichokizungumza Slaa na hakina effect yoyote msingekesha humu kumuanzishia thread. R.I.P UKAWA tulieni dawa iwaingie.
Unamtisha nani kwa faida ya nani, wakati JF ni jukwaa huru kwa Mtanzania yeyote yule kushare feelings zake pasipo kuingilia uhuru wa mwingine kwa muktadha wa kuvunja katiba ya Nchi...Hivi lini CCM ikawa ni kitu kinchozungumzika kwa raia mwingine kama Tusi la kikatiba au la kuvunja sheria ni binadamu mwenye Upumbavu na Ulofa pekee ndiye anae weza tamka kuzungumza ama kufanya majadiliano na wenzie kuhusu CCM kwao ni tusi la nguoni..tena nia aibu mtu yuko kwenye jukwaa la Siasa ama Uchaguzi kutoa michango yenye sura ya kuwatisha wengine eti nakusihi wewe nani JF...Modertors watwambie kama account zetu humu kuwemo JF zimekuwa jukwaa la watu maalumu ambao wakiskia mtu anaizungumzia CCM kwao ni matusi basi tujue kuwa sie wengine kama raia wa Tanzania na JF ni Jukwa la Watanzania tunabaguliwa kushare na kuexpress mawazo yetu kwa faida ya Taifa letu...
Moderators ...nitakomaa na sentensi hii mpaka na kitaeleweka....nijue kujadilia CCM kama ni kosa JF...
Wakoloni weusi ni pamoja na Lowassa na Sumaye. Upinzani umetuangusha. Sidanganyiki kama wewe....usituletee msongo wa mawazo na mkoloni mweusi...