Alianfika huu uzi ana mashauzi kama anatoka BK.
Amewagusa sana.
wazee Kambaleeee.
Wazee wa kula utumbooo.
Wazee wa sewage system
Wazee wa 0713...
Wazee wa Kabannnnnng
Wazee wa kukata mafla
Barabara za vumbi hatareeee
Watoto wa KISOSORA,MAJANI MAPANA,DONGE,NGUVUMALI,KWA MINCHI,MAKORORA,MABANDA YA PAPA MPOOO?
Jamaa atakuwa na fangasi huyo ,sasa mdalasili na karafuu vilipopenya palipo athirika akapata maumivu.
Next time akuwekee ngogwe,bamia na mlenda
Magari kuingia Muhimbili ni bure.Hawalipishi kama Bombo au KCMC.
Mgonjwa akiandikiwa dawa wakati Madaktari wamepita mzunguko wa saa tatu.Na bahati mbaya ikakosekana.Wewe ndugu utajulishwaje?
Hapo utakuja kujua saa kumi jioni utakapokuja kumsalimia tena .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.