Mabetri ya Amaron yanauzwa

jokielias

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,203
359
TUNAUZA BETRI YA MAGARI AINA YA AMARON. AMARON NI MABETRI IMARA NA ORIGINO KUTOKA INDIA. AMARON NI MABETRI YANAYOFAHAMIKA TANZANIA NZIMA.

PIA TUNAUZA NA BETRI ZA YUASA. BETRI ZA YUASA NAZO NI IMARA NA ORIGINO KUTOKA INDONESIA.

TUNATOA WARRANTY YA MWAKA MZIMA. BETRI ZOTE NI SEALED ( DRY CELL).

WADAU WA MIKOANI TUNAWASAFIRISHIA MZIGO. SIMU- 0689-866100. 0717-518359

KUNA SIZE ZA BETRI ZINGINE ZINAUZIKA HARAKA NA KUMALIZIKA MAPEMA KWAHIYO MTEJA AWEKE ODA MAPEMA KAMA ANAHITAJI.


IMG_20160616_122314.jpg IMG_20160616_122332.jpg IMG_20160616_122335.jpg IMG_20170425_164942.jpg

UKUBWA WA BETRI NA BEI ZAKE; (YUASA NA AMARON)

1) NS40 - 120K
2) N50Z- 165K
3) N60- 135K
4) N70Z- 190K
5) N80- 210K
6) N90- 260K
7) N100- 290K
8) N150- 380K
9) NT180- 500K
10) NT165 - 470K

TUNAPATIKANA DAR, PIGA SIMU 0717518359, 0689866100.
KARIBUNI.
IMG_20160616_122314.jpg
IMG_20160616_122332.jpg
IMG_20160616_122335.jpg
 
Ni vema ungelipiga picha likiwa nje ya box na kusema ni ya dry cell au ya maji

Alafu na n120 au 150 kama yapo
 
Mabetri maana yake "Ma- magari, betri.=Betry za gari, na kwa kuwa zipo nyingi na jamaa kapiga uwingi basi akaona aandike "mabetri" kana kwamba ndio yale ya redio mkulima kumbe betri za magari.
 
Mabetri maana yake "Ma- magari, betri.=Betry za gari, na kwa kuwa zipo nyingi na jamaa kapiga uwingi basi akaona aandike "mabetri" kana kwamba ndio yale ya redio mkulima kumbe betri za magari.
Asante kwa ufafanuzi, Betri ni neno moja. Nimetumia neno mabetri ili kutaja uwingi. kwahiyo nikisema Mabetri ya magari, kila mtu anajua namaanisha nini?? Kama kuna wataalamu wa kiswahili wanisaidie hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom