S shahid shabir Member Jun 11, 2016 10 3 Jun 13, 2016 Thread starter #2 Gari ya masaki inapakia kwenda jeti rumo... Eeeee serekali wapi mnakoenda? Kipi hasa mnachokifanya jamani wahusika mko wapi????
Gari ya masaki inapakia kwenda jeti rumo... Eeeee serekali wapi mnakoenda? Kipi hasa mnachokifanya jamani wahusika mko wapi????
fortuneless Member Jun 8, 2016 95 49 Jun 13, 2016 #3 shahid shabir said: Click to expand... Umbea Huu usikute limekodiwa kwenye shughuli.
S shahid shabir Member Jun 11, 2016 10 3 Jun 13, 2016 Thread starter #4 Hamna umbea hapo... Nimemsikia Konda anatangaza wakati nilienda kupanda kumbe nikashushwa kusikia jet
Hamna umbea hapo... Nimemsikia Konda anatangaza wakati nilienda kupanda kumbe nikashushwa kusikia jet
W WAGAGAGIGIGOGO Member Mar 28, 2016 30 52 Jun 13, 2016 #6 Mleta uzi UMEKURUPUKA. Masaki siyo moja tu. Kuna Masaki iliyopo Kisarawe