Recent content by Wafujo

  1. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoanza kuwa mtu wa mazoezi ya mwili/ push ups mpaka kuwa na sexy body

    Jisifie una sexy body afu uje ukamatwe na mke wa mtu. Ndo utajua kumbe nawewe ni mtamu.
  2. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

    Imagine uwanja wao afu mnawapangia cha kufanya. Jengeni uwanja wenu ili msiweke cctv cameras na muwe mnapita milango sio.
  3. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

    Karibu dada
  4. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

    Ndio, ila zingatia na umri walioweka kwa level ya form VI kama unakuruhusu.
  5. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki mbili?

    Fanya biashara ya pweza na ngisi, kwa kuuza vipande vipande na mchuzi wake.
  6. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hali yangu nashindwa ielewa. Je, ina maana yoyote kiroho?

    Acha niweke kambi hapa
  7. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Tafuta njia nyingine ya kupambana na hao panya badala ya kupambana na jamii inayokuzunguka.
  8. Wafujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge JamiiForums sikuwahi kuingia MMU

    Nilivyosoma kichwa cha uzi nikajua una miaka kadha wa kadha, kumbe una siku 4 tu?? Shubaamit[emoji52]
  9. Wafujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    Mzee wangu kwanza hongera kwa kufikisha umri huo. Pili acha nikupe kongole kwa busara zako katika mada husika. Tatu umenifanya nianze kukufuatilia humu jf (si kwa ubaya, kwa lengo la kujifunza zaidi kutoka kwako). Uishi sana Mzee wangu, huu uzi wako nitaufanyia kazi.
  10. Wafujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    Huu uzi mods naomba uwekwe lamination na upelekwe pale makumbusho kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
  11. Wafujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpoteze mwanamke mwema kwasababu alijamiiana na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya

    Sikuhizi mitandao ya kijamii inawajaza ufala sana vichwa panzi.
  12. Wafujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuta Mke wangu kapima Afya bila kunishirikisha, Hongera kwake kwa kujitambua

    Walisemaga wazee wa zamani kuchapiwa ni siri ya ndani ila ww umekuja hapa kuitoa[emoji28][emoji28]
  13. Wafujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New Couple in Town! I love you so much!

    Mkuu umewaza ujinga sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Wafujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa mama Salma! Ni kweli walimwagwa vyuoni?

    Huu uvumi ulinifanya nisome chuo miaka 4 bila kumtongoza demu mwanachuo.
Back
Top Bottom