Recent content by waefeso

  1. waefeso

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wema ndio anaelekea ukingoni?

    Kaamsha sana tu kama angekuwa hajavutia wewe usingeleta huu Uzi huku
  2. waefeso

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu na Mohombi mambo ni motooo!

    Dada wa watu asipige picha na mtu maneno mengi wabongo mnapenda majungu kuliko kazi
  3. waefeso

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu na fashion zake

    [emoji7][emoji7][emoji7]
  4. waefeso

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu apokelewa kama Malkia nchini Rwanda, aeleza kilichompeleka

    Yaani watu wana wivu na wema wakati mwenzenu analipwa wabongo hatUjawahi kupendana
  5. waefeso

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Sitarudi CCM

    [emoji23][emoji23]Wema amejua kunisuuza sana nampenda sana anamisimamo yake
  6. waefeso

    JamiiForums Tanzania Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

    Bado kidogo tutasikia movie zake hazina ubora atafungiwa kufanya movie [emoji23][emoji23]tz ya viwanda wema usikate tamaa vita ni vita muraaaah
  7. waefeso

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto kuzimisha Nyota ya Wema Sepetu

    Wema hashushwi hata wakija wakina hamisa 100 upo hapo
  8. waefeso

    JamiiForums Tanzania Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

    Mbna zimeuzwa huu mwaka wa pili na anakuja na nyingine zinaitwa liquidmatte mjipange maccm hamuwezi kumfelisha katu
  9. waefeso

    JamiiForums Tanzania Kutoka mahakamani: Wema Sepetu hakufanyiwa upekuzi kwenye maungo ya mwili wake, asema Hakimu

    Kesi ya kubambikiziwa hiyo [emoji23][emoji23]huchelewi kusikia hukumu ya wema ni amri kutoka juu kusikonulikana
  10. waefeso

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama yeye
  11. waefeso

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kuja na ‘In my shoes’ season 3

    Oyoo bora nilikimiss
  12. waefeso

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni kweli mwenyewe sepenga au mtu kafungua hii account kwa kutumia jina la wema hili awatapeli watu

    Tapeli wema alishasema hana acc facebook
  13. waefeso

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Sema akili zako fupi mh alivaa suruali ya kaki vest nyeupe na shati la blue Sent using Jamii Forums mobile app
  14. waefeso

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    hiyo nguo nyeupe ni vest Sent using Jamii Forums mobile app
  15. waefeso

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Hospitali aliyolazwa Lissu huko Nairobi kuongezewa ulinzi!

    Utakufa wewe kabla yake fala wewe Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom