Recent content by wadadawanne

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kila kona ukuta

    Na mazoezi ya kufa mtu mbeya, busy na ukuta Kuan zia baba mpk wajukuu, kuhamia dodoma hamna tena Sasa ni ukuta Habari ya mjini kweli wanakwenda na matukio.shika hapa, shika hapa hiyo. Kwa nn unafanyia mazoezi mtaani hali Kuna viwanja vya mazoezi au ndo kutisha wanamitaaaa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kikao cha wafanyakazi

    Wadau Nina swali. Leo mkuu wa kitengo katuma sms whaatsap kuwa kutakuwa na kikao ila kwa ambao hawajahudhuria ametoa amri waandikiwe barua ya onyo. Je ni sahihi
  3. W

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe wandugu

    OK thx ila nadhani kwa Hali kama hii wangepaswa waongee chochote juu ya swala la uhamisho wa wafanyakazi
  4. W

    JamiiForums Tanzania How are you determine performance

    Nisaidie na juu ya hili wakurugezi huwa hawako under probation? ?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe wandugu

    Hili swala la kuhamia dodoma je vyama vya wafanyakazi haviwezi Sema loloote juu ya ulipwaji wa uhamisho kwa wafanyakazi ili waweze lipwa stahiki zao? ? Maana naona wamekaa kimyaaaaaaa au kazi zao ni zipi? ??asante
  6. W

    JamiiForums Tanzania CAG: TTCL na ATCL zinaongoza kwa kuwa na Vilaza

    Mashirika kama Posta, halmashauri hiziii, Rita,na menginee
  7. W

    JamiiForums Tanzania CAG: TTCL na ATCL zinaongoza kwa kuwa na Vilaza

    Maofisi mengi ya serikali yana wafanyakazi walioishia std7 na form four na tena hujifanya wao ndo ma supervisor. Nadhani umefikia wakati kila many mfanyakazi ahakikiwe vyeti vyao na ufanywe ukaguzi pia wa vyeti fake wafanyakazi wengi Sana pia Wanatumia vyeti si vyaoo
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wakuu wabuni namna ya kusimamia kazi

    Baaada ya boss kuanza kutumbua majipu kwa kufanya ziara za kushtukiza kwenye baadhi ya wizara, cha kustaajabisha nao badala ya kutafuta njia mbadala wanafanya ziara za kushtukiza kwenye getini na kupiga mistari ma badala ya kuiagiza office kuweka electronic systems kwa ajili kusain wafanyakazi...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msiongee saana myatekeleze pia

    Oo kuanzia Leo hakuna daladala kusimamisha abiria nani kasemaa, ni maneno tuuu Ila inawezekana saana Ila wahusika hawako serious
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nifafanulieni wadau

    Mini hasa maana ya kitendo cha waziri kwenda kuwatembelea wananchi wa mkwajuni na kuwapa pole kuwafariji, have no maafa??? La!! ina maana yuko kinyume na serikali au??!! Mi sijaelewa kitendo hicho!!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya balozi ni nn

    Kazi ya balozi akiwa nje ya nchi nini?? Najiuliza sana nashindwa kuelewa maana kuna balozi mmoja wa Tanzania kwenye nchi mmoja ya kiafrica kila siku kwenye kipindi cha Nipashe anaripoti taarifa zinazotokea nchini humo,, je night mwakilishi wa hicho kituo cha radio au??
  12. W

    JamiiForums Tanzania To lubuva inabidi useme ukweli

    Hata haya yaliyotoka zanzibar sio, Acha ubabe maana maelekezo umepewa uendelee kutangaza, so pia uchaguzi wetu si wa hakiii. . Wala wananchi hatupotoshwi na mtu yeyote TUKO makini na tunajielewa sasa, mtanzania wa sasa si wa miaka mitano iliyopita!!!!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Hata haya yaliyotoka Zanzibar sio, acha ubabe maana maelekezo umepewa uendelee kutangaza, so pia uchaguzi wetu si wa haki. Wala wananchi hatupotoshwi na mtu yeyote, TUKO makini na tunajielewa sasa. Mtanzania wa sasa si wa miaka mitano iliyopita!!!
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Kuna baadhi ya mikoa bado wamelala kifikiraaaa badoooo ni mbululaa
Back
Top Bottom