Naomba mnielimishe wandugu

wadadawanne

Senior Member
Oct 26, 2014
119
24
Hili swala la kuhamia dodoma je vyama vya wafanyakazi haviwezi Sema loloote juu ya ulipwaji wa uhamisho kwa wafanyakazi ili waweze lipwa stahiki zao? ? Maana naona wamekaa kimyaaaaaaa au kazi zao ni zipi? ??asante
 
Vyama siku hizi havina nguvu. Lazima wafanyakazi wapigwe tu, kama watu wameweza kubaka katiba we unadhani watashindwa kubaka haki za wafanyakazi??? Tatizo mambo yanaenda kiuchwara uchwara....
 
OK thx ila nadhani kwa Hali kama hii wangepaswa waongee chochote juu ya swala la uhamisho wa wafanyakazi
 
Back
Top Bottom