Wakuu wabuni namna ya kusimamia kazi

wadadawanne

Senior Member
Oct 26, 2014
119
24
Baaada ya boss kuanza kutumbua majipu kwa kufanya ziara za kushtukiza kwenye baadhi ya wizara, cha kustaajabisha nao badala ya kutafuta njia mbadala wanafanya ziara za kushtukiza kwenye getini na kupiga mistari ma badala ya kuiagiza office kuweka electronic systems kwa ajili kusain wafanyakazi, jewellery mpk Leo anaenda hapo kuangalia audio kuchora mstariii, je aliona hiyo ndo kumfanya mtu awajibike!! La!!
 
Serikali ya ccm haijui maana halisi na tafsiri ya uwajibikaji. They are just fumbling around!.
 
mbona ni wabunifu wazuri tu.
kama mtu anabuni kuchukua kitabu cha kusaini asb na kuwaita waandishi wa habari bado unamwita sio mbunifu.
km mtu anabuni kufanya ziara mikoani na kufukuza watendaji waliokosa ruzuku kwa ajili ya kuendesha miradi ya maendeeleo unamuona sio mbunifu.
upo ubunifu wa kutoa maagizo siku kumi na nne siku saba ambao mpaka inafika leo siku ya ishirini au arobaini matokeo ni 1 toa 10.
zipo bunifu nyingi tumeziona na zina matunda makavu.
we wataka bunifu zipi zaidi ya hizi
 
Back
Top Bottom