Recent content by wachimbakisima

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kwa huduma za uchimbaji kisima

    Habari wana jukwaa,sisi tunajishughulisha na uchimbaji wa visima pamoja utafiti wa maji ( ground water survey ) kwa bei rahis. Tunachimba kwa shillingi elfu sitini kwa mita moja na tunaweka pampu. Pia gharama za utafiti wa maji ( ground water survey ) ni shilingi 350000 tunapiga verse 2. Tupo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Special kwa waliokosa sifa TCU

    Habari wana JF, Lengo la uzi huu ni kutoa ushauri tu kwa wale wote jamaa zetu waliokosa sifa za kujiunga na shahada kupitia vigezo vilivyowekwa na TCU. Ushauri wangu ni kuwa sasa ni nafasi pekee ya kuvipindukia vyuo vilivyo chini ya veta ili kwenda kuchukua fani mbalimbali zitakazoweza...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tukio la Ujambazi lililofanikiwa zaidi, kusisimua na kuushangaza Ulimwengu

    Samahani mkuu siwezi kuisoma kwa sababu lugha waliyotumia si yetu
  4. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata online university

    Sheria mkuu au kozi za biashara
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata online university

    Wakuu habari nina kijana wangu nataka kumtafutia chuo cha nje ya nchi ambacho kinatambulika na serikali yetu ili hata akimaliza kusoma asipate tabu kwenye maswala ya kupata ajira...Lakini pia dhumuni siyo kwenda kusoma huko ulaya hapana ni kusoma online Level ya degree wakuu naombeni msaada wa...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: 'Massage Parlour' ni zaidi ya maduka ya ngono

    Sema mtoa mada kagoma kuja na sehemu ya2
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: 'Massage Parlour' ni zaidi ya maduka ya ngono

    Hii thread ni nzuri sana aiseee
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jua mbinu za kumteka akili mwanaume wako hizi hapa, hakuna haja ya kumwekea mumeo limbwata

    Ww ni 'ke' au ni 'me'
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutengeneza blog

    Mkuu kinachonikera ni nini? Nimecreate blog sasa nimetengeneza kurasa zangu tayari,nikija ku click juu pale palipo andikwa tazama blogu yako zile kurasa kule hazidisplay i mean zinakuwa hazipo jee nifanyeje hapo?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Jaribuni kuwa waelewa jamani, G.P.A ya 3.5 ni ya wanaotaka kwenda vyuo vikuu

    Kuna vyuo vilikuwa vinatoa kozi ya pre_bachelor course kwa wale walio na sifa zisizo ruhusu wao kuingia moja kwa moja kusoma degree je vipi hizi course zitaendelea kutolewa au?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutengeneza blog

    Wakuu habari za week end,ninahitaji kuwa na blog yenye muonekano mzuri ila ninahitaji mtu anifundishe ili kama inawezekana nitengeneze mwenyewe hiyo blog kwa kutumia mafundisho ya huyo mtaalamu....plz kwa yeyote mwenye ujuzi tafadhali naomba anisaidie Nawasilisha...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Jaribuni kuwa waelewa jamani, G.P.A ya 3.5 ni ya wanaotaka kwenda vyuo vikuu

    Hii ni miongoni mwa thread zilizo pendezesha siku yangu ya leo
  13. W

    JamiiForums Tanzania Njoo uchimbiwe kisima

    Hapo kwa mita tunachimba laki moja kila kitu kinakuwa juu yetu isipokuwa maji ya kuchimbia
  14. W

    JamiiForums Tanzania Njoo uchimbiwe kisima

    Umenisaidia kunijibia vyema kabisa
  15. W

    JamiiForums Tanzania Njoo uchimbiwe kisima

    Maji unaweza kukuta yapi kwa juu kidogo ila its better kama ukichimba mita hizo mkuu na pia unaweza ukachimba leo ukatia pvc kabsa then ukajipanga ukaja kuweka pampu later on
Back
Top Bottom