Msaada wa kutengeneza blog

Jul 2, 2016
26
16
Wakuu habari za week end,ninahitaji kuwa na blog yenye muonekano mzuri ila ninahitaji mtu anifundishe ili kama inawezekana nitengeneze mwenyewe hiyo blog kwa kutumia mafundisho ya huyo mtaalamu....plz kwa yeyote mwenye ujuzi tafadhali naomba anisaidie

Nawasilisha...
 
Na hospitalini huwa unaomba kufundishwa ili ujitibie?
 
Mkuu kinachonikera ni nini? Nimecreate blog sasa nimetengeneza kurasa zangu tayari,nikija ku click juu pale palipo andikwa tazama blogu yako zile kurasa kule hazidisplay i mean zinakuwa hazipo jee nifanyeje hapo?
Mjukuu wangu unapotengeneza chapisho jipya ukumbuke kubofya kitufe cha "CHAPISHA" Baada ya kumaliza chapisho lako na bila Shaka utaona habari uliyochapisha ikitokea kwenye blogu yako.

Asante
Babu Kifimbo Cheza
 
Back
Top Bottom