InnovatorTz
Member
- Jul 1, 2016
- 23
- 23
Hili swala limewachanganya sana watu lakini nahisi labda pengine hawakuliewa hili suala vizuri, Ni kweli G.P.A ni 3.5 lakini ni kwa (university) yani Vyuo vikuu.
Mfano Tanzania vyuo vikuu nikama Mlimani, Mzumbe pamoja Na University of Dodoma. Sasa kama wewe uli apply vyuo hivyo kupitia TCU ni lazima ukose nafasi ya kwenda chuo lakini kama umeomba chuo kama IFM ambacho sio university au CBE utapita kwa GPA ile ile ya 2.7.