Recent content by wachamawe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Unampenda lakini hakupendi

    Hii kitu imekuja wakati muafaka kwangu, asante mtoa mada, nimepata Amani ya roho, baada ya kusoma hii mada nmedelete kabisa namba na msg zote, how comes unaandika msg 10, unajibiwa moja, tena jibu lenyewe unaambiwa "poa" hata kama ni swali linahitaji explanation,,,, halafu dada anaekusumbua...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

    Hahaaaa, kaka acha duka lijifie,,,,yaani ukitaka life vizuri wewe samehe hata mauzo usimuulize,,,
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wetu hamna kitu

    kwani huwaoni wanaotakiwakusimamia sheria ndo makada wa vyama, hujasikia hata kabla ya kuacha ofisi zao wakaingia kugombea uspika, baada ya kuona upepo mkali wakachukua fom za unaibu spika, sasa unategemea watatetea vipi sheria za mita 200 wakati wao ni makada?? wengine wanatoka kuwa viongozi...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    tangu lini ukachagua pm mchapakazi? unataka amfunike rais??
  5. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    wewe lazima tukufatilie vizuri, wewe ni mtu makini sana wa kuchambua mambo, yaani mtu ambae hata hayupo aliyewahi kumdhani, eti ndo pm???? du
  6. W

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

    Mtakuja na propaganda cna, kwan mch mtikila nae alikuwa mwana ccm??
  7. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Hata hilo la kusema wanawake ni waaminifu hukulisikia, hata la kusema wakamtafutie kura nalo hukulisikia??
  8. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Ulitaka aseme nini?? Yaliyosemwa na mama Regina hukuridhika nayo, wao wanafungua kampeni trh 29, sasa ulitaka aongee yote leo?? kipindi Magufuri anazunguka hakuwa na kipaumbele hata kimoja hadi ilani ilipotoka ndo anahubiri ya kweny ilani ambapo hata mengine hayaamini.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Upinzani wamtaka Sumaye...

    Ndo unaleta habari au majungu?? Mbona nyinyi hamsemi chama kimekuwa cha mwenyekiti na familia yake!? Wengine ni vyambo tu humo ndani
  10. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamhujumu Lowassa rasmi, wavunja UKAWA kusini, CUF kumwaga mboga

    Chadema ilishatoa majina ya wagombea inaowatambua na hayo majimbo hayapo kwenye orodha za chadema, sasa hao hawatambuliki
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

    Hivi Tz tunawasanii!!!!
  12. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasambaratika Sengerema

    Hamis Tabasamu kakasirika baada ya kutokuchaguliwa kugombea ubunge, aliyechaguliwa ndugu Shejamabu aliwahi kuwa mpinzani mkubwa wa Ngeleja na anakubalika mpaka vijijini, hivyo ushindi ni lazima
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kifo cha upinzani baada ya Uchaguzi

    Sa hivi hata compain hazijafunguliwa, wewe ushaanza kitabili kifo cha chama baada ya uchaguzi, acha kutuvuruga wakati sisi akili zetu zipo Arusha...
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Mwanza itakuwa ni Furahisha au Nyamuhongolo?? Kama nu Furahisha hatutatosha aisee
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kulingana na meta info. Picha ya myika kuwepo kwenye mkutano ni uongo.

    2012 Mnyika alikuwa havai miwani
Back
Top Bottom