Recent content by wabungenjaa

  1. wabungenjaa

    Mapya DAWASCO: Mzalendo aliyeibua wizi wa maji wa bil.2 atimuliwa kazi

    Kuhusu Strabag, Kweli kulikuwa na uzembe as strabag walianza huo mradi 2012 hapo hata Boss Teresia hakuwepo Magomeni enzi hizo alikuwa makao Makuu Tena Ofisi ya Public Relations na aliifanya kazi yake kweli PR ya Dawasco ikaonekana hasa.. Sasa huku strabag aliingiaje Kama sio Kumdhalilisha na...
  2. wabungenjaa

    Mapya DAWASCO: Mzalendo aliyeibua wizi wa maji wa bil.2 atimuliwa kazi

    Jamanii eeeeee Huku Strabag wamelipa Deni lote. Sasa maskini aliowatoa kafara kwa issue ya Strabag sijui anawatazama vp. Kama Strabag wamelipa deni inamaana walikubali kosa, Sasa huyu dada kushirikiana nao waziweke wazi basiii Hicho kituo cha Magomeni waliongoza makusanyoo haijawahi tokea Ila...
  3. wabungenjaa

    Fidel Castro, kiongozi aliyekuwa mwiba kwa Marais 11 walioitawala Marekani

    Kwani ukiremba maneno yatabadilisha ukweli kuwa mtu amekufa?
  4. wabungenjaa

    Mheshimiwa Rais wananchi wa Kinondoni wamekukosea nini?

    Ndio yeye huyo huyo mkuu. Mulitiple ID's
  5. wabungenjaa

    Mheshimiwa Rais wananchi wa Kinondoni wamekukosea nini?

    Umeleta Hoja kaa chini funga bakuli lako watu watoe maoni yao. Tatizo unapenda habari zinazokufurahisha tu. Vumilia hizi sindano ili upone haraka
  6. wabungenjaa

    Mheshimiwa Rais wananchi wa Kinondoni wamekukosea nini?

    Mkuu ulivomalizia!!! Any way mtajibeba mwaka huu. Mlizoea kuchekewa chekewa huku mnaharibu nchi.
  7. wabungenjaa

    Mheshimiwa Rais wananchi wa Kinondoni wamekukosea nini?

    Nyie mlizira wenzenu wakala. Tulieni dawa iwaingie vzr
  8. wabungenjaa

    Mwaka mmoja wa JPM: Maisha ya Mtanzania yamestawi

    Kweli kabisa. Hasa manyumbu ya JF
  9. wabungenjaa

    Mwaka mmoja wa JPM: Maisha ya Mtanzania yamestawi

    Mtahangaika saaanaaaa. Magu anaendelea kupiga kazi kama kawa
  10. wabungenjaa

    Bomoa bomoa yafanyika Mbezi, wananchi walalamika kutopewa taarifa

    Ttaarifa imetolewa tangu mwaka 2006 na kila baada ya miezi miwili walikuwa wanapewa notice. Vichwa vigumu
Back
Top Bottom