S.N.Jilala
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 540
- 507
Nimeona tweet nyingi za Wamarekani wanashangilia Jamaa kufariki Hata hiyo tweet ukiwa na fikra kubwa utajua anamaanisha nini.
Unaakili weyeKama vile atakuwa amewaza kuongeza neno FINALLY!
Kheri yako wewe wachangiaji wengine mhhhhhhhhhBinafsi naona ni "neno la mshangao" !!!!!!!!!!!!!
Wataalamu wa mambo ya siasa, diplomasia na uongozi, hivi tweet kama hii ni sahihi kutolewa na kiongozi mkubwa kama Donald Trump? Anamaanisha nini katika hii tweet?
View attachment 439914
FOR SOME YES, FOR OTHERS NO. ukitangulia ili upishe watu, ukitangulia ili usipate nafasi ya kutubu.UKITANGULIA KM GHADAFI AU SADDAM AU WALE ALIOFIA GUEST HOUSE BAADA YA KUUA NA KULINDWA NA WALIOPASWA KUTA HAKI...Mhh..WHAT YOU THINK?Is death a punishment?
Wahesabu. wapo kumi hapoWao BBC wamesema 10 wewe hao 11 umewatoa Wapi..!?
Usibadilishe taarifa.