Recent content by WA PATI

  1. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Simba SC tusipoacha ' Upuuzi ' huu tusahau kuyafikia malengo yetu tarajiwa. Tubadilike!

    huyu amenyimwa mgao....
  2. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako unayajua haya ya Korogwe?

    Umeshajua kero saidia kutatua kama kweli we ni kiongozi achana na mwandiko wa mwanachuo...otherwise nawe ni Chenga tu
  3. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: NEC inakuwa tawi la CCM, hivi uchaguzi wa kata 43 hakuna dosari za kurekebisha kabla ya uchaguzi wa wabunge?

    Kwa sasa kila taasisi imekuwa tawi la CHAMA DOLA
  4. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Is possible, kuna Itigi, Hydom(Mbulu) etc
  5. WA PATI

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti aonekana akirandaranda viunga vya halmashauri wakati baraza la madiwani likifanyika

    mmm!! kazi haikukamilika au?
  6. WA PATI

    JamiiForums Tanzania SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Hawo kina kichuya , Walusimbi , nawengineo wako timu za Taifa hivyo hawatakuwepo.
  7. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Bora aliyesema NAKAA KIMYA

    Huwezi kaa kimya wakati hakuna haki, wengine wanatumbuliwa kwa kilekile wengine wanaachwa.
  8. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Haji Manara hakumtukana tuu Malinzi, Ameitukana FIFA. Ashikishwe adabu

    mahesabu ya kadi tatu yanahusisha na hiyo mechi mbona mnarudi nyuma...
  9. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Kombe la Azam Federation Yanga Vs Tanzania Prison

    Na tumeomba tuwe kumi uwanjani, nyi mmesahau mlivyochukua za azam eee
  10. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Kombe la Azam Federation Yanga Vs Tanzania Prison

    ndala wanatakata ngoja tuwasubiri semi final
  11. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Haji Manara hakumtukana tuu Malinzi, Ameitukana FIFA. Ashikishwe adabu

    04/03/2017 kagera vs majimaji ndo alipata kadi ya tatu ya njano usipotoshe watu. hivyo alipaswa kumisi game ya simba acheni kujitoa ufahamu, mbona nyi mlidai kwa azam na mkapewa mbona hamjusem in za mezani acheni double standard
  12. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuandamana tarehe 25 mwezi huu, Sababu kuu ikitajwa ni uonevu wa TFF dhidi yao.

    wakati mwingine ni vema kutafakari...
  13. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Sheria za TFF zisingegusa matokea ya mchezo uliokatiwa rufaa

    Nimependa kwamba unakuwa jasiri kusimamia hoja hata kama si kweli naamini umejifunza mengi kupitia Uzi huu big-up mtani wangu tukosoane ili tujenge soka letu ila point ni za MSIMBAZI tu.
  14. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Sheria za TFF zisingegusa matokea ya mchezo uliokatiwa rufaa

    kama timu ilofungwa imesonga mbele hivi imepewa nini ? mbona mnajitoa ufahamu Congo, Madrid wameshinda lakini wamenyang'anywa ushindi siyo pointi za mezani hizo hivi mnataka mueleweshweje,? otherwise mchezaji hana kadi tatu hapo sawa.
  15. WA PATI

    JamiiForums Tanzania Sheria za TFF zisingegusa matokea ya mchezo uliokatiwa rufaa

    Mbona Yanga hamkuandamana kama mnavyoandama kwa Simba? mi huwa nawadharau watz kitu kama kinafaidisha anapiga kimya hata kama si halali ila kama hakimfaidishi makelele kibao. teh he he he!!! hi ndo nchi ya Wabongo.
Back
Top Bottom